Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Uko sahihi ila inabidi uwe na roho ya kikatili kujijengea hekalu wakati wazazi wako wanaishi kwenye mbavu za mbwa. Ushauri wako ni mzuri ila NINAWASHAURI WATU WAUPUUZE.
 
Uko sahihi ila inabidi uwe na roho ya kikatili kujijengea hekalu wakati wazazi wako wanaishi kwenye mbavu za mbwa. Ushauri wako ni mzuri ila NINAWASHAURI WATU WAUPUUZE.
Mpaka unajenga hekalu sio rahisi kutokujeng kwenuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kuna vitu vipo automatically sio rahisi anaweza kujenga nyumba ya million 200 ashindwe kujenga kwa wazazi wake .

Watu wengi wanashindwa kwa vile unakuta nyumba yake ya mil 80 bado kachukua mkopo .

Matajiri wanajenga na hata ukiwa na pesa unaweza kujenga nyumba kibao hata kama hakuna wa kukaa.

Lowasa kajenga nyumba kweny mashamba yake ya mifugo wakae shamba boys ,yaani kama pesa ipo jenga tu hata kila mzazi nyumba yake.
 
Kwa sisi tuliokulia kwenye mbavu za mbwa huwa lengo la kwanza ni kubadili maisha ya tulipotokea. Ni UPUUZI kuishi kifahari Sinza wakati wazazi wako wanalala sehemu ya hovyo na kula makande daily. Mtu unaishi kistaa Dsm wakati wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya nyasi hakuna umeme wala maji. Mama anabeba ndoo umbali mrefu kuteka maji. Jiko anatumia la kuni. NI USHENZI MTUPU. Vijana kama hao wabadilike. Hizi theory za kujijenga kwanza ni UPUMBAVU mtupu. Makabila mengi kwa sasa wanawaiga wachaga huu utamaduni wa kujenga nyumbani. Ni utamaduni mzuri.
 
Kuna mchaga mmoja mzee wa Kanisa kkkt Arusha Chatu alitoka chumbani kwake mwenyewe akiwa safarini

Alipopigiwa Simu akasema " msimuuwe tafasali" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Rombo kama Makete 🐼
Acha wivuπŸ˜‚
Ingekuwa uchawi ndo unampa mtu mafanikio basi sumbawabga yangejaa mahekalu.
Wachaga ni hardworkers.
 
Picha ya huu mjengo ndo umefanya Masanja sasa hivi analilia ndani ya blanketi, Watu wana maneno bwana, Et ndg wa marehemu katibu wakachukue damu yao..🀣🀣🀣🀣
Masanja kapigwa hapa mchana kweupe. Wadau mjini X wamemkumbushia huyo dogo, feki pasta analilia ndani ya blanketi sasa hivi

 
MTOTO WA MAMA MBOWE.
AMERITHI UKWASI NA SIO FIGHTER KAMA MABROO WENGINE WA ENZI HIZO
 
YAANI MBOWE NDIO ATUPE MADARAKA YA HAKI???
HOW???
 
Hivi ruzuku ya Covid-19 inaingia wapi?
 
Cc darcity MoseKing Accumen Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…