Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Kwenu wapi ? Fanya maendeleo kwako kwa ajili ya wanao hao kwenu kama ni wizazi wajijengee wenyewe....Unafikria Mbowe kajenga kwa pesa zake au wazazi wake ni masikini 😅😅😅hizo nyumba zipo ngapi huko kijijini !?

Jenga unapoishi kukata chain ya umaskini anza na kizazi chako ...Wapo wabongo wana nyumba south Africa mambo mbele kwa mbele...Hata ufe huwezi kupata hiyo aibu kama kwenu pabaya.

Kama una pesa ndefu fanya kujenga unapoishi ila kama ni surplus jenga na kwa wazazi wako .

Chukulia mfano mwalimu akajenge kijijini kwako tena kwa mkopo mpaka alipe na kujenga yake kashastaafu na lundo la familia.
Uko sahihi ila inabidi uwe na roho ya kikatili kujijengea hekalu wakati wazazi wako wanaishi kwenye mbavu za mbwa. Ushauri wako ni mzuri ila NINAWASHAURI WATU WAUPUUZE.
 
Mpaka unajenga hekalu sio rahisi kutokujeng kwenu😅😅😅kuna vitu vipo automatically sio rahisi anaweza kujenga nyumba ya million 200 ashindwe kujenga kwa wazazi wake .

Watu wengi wanashindwa kwa vile unakuta nyumba yake ya mil 80 bado kachukua mkopo .

Matajiri wanajenga na hata ukiwa na pesa unaweza kujenga nyumba kibao hata kama hakuna wa kukaa.

Lowasa kajenga nyumba kweny mashamba yake ya mifugo wakae shamba boys ,yaani kama pesa ipo jenga tu hata kila mzazi nyumba yake.
 
Kwa sisi tuliokulia kwenye mbavu za mbwa huwa lengo la kwanza ni kubadili maisha ya tulipotokea. Ni UPUUZI kuishi kifahari Sinza wakati wazazi wako wanalala sehemu ya hovyo na kula makande daily. Mtu unaishi kistaa Dsm wakati wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya nyasi hakuna umeme wala maji. Mama anabeba ndoo umbali mrefu kuteka maji. Jiko anatumia la kuni. NI USHENZI MTUPU. Vijana kama hao wabadilike. Hizi theory za kujijenga kwanza ni UPUMBAVU mtupu. Makabila mengi kwa sasa wanawaiga wachaga huu utamaduni wa kujenga nyumbani. Ni utamaduni mzuri.
 
Picha ya huu mjengo ndo umefanya Masanja sasa hivi analilia ndani ya blanketi, Watu wana maneno bwana, Et ndg wa marehemu katibu wakachukue damu yao..🤣🤣🤣🤣
Masanja kapigwa hapa mchana kweupe. Wadau mjini X wamemkumbushia huyo dogo, feki pasta analilia ndani ya blanketi sasa hivi

20231113_123158.jpg
 
Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala.

Tofauti ya Mbowe na viongozi wengi wa chama tawala, Mbowe anasimamia biashara zake mwenyewe, analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.

Wakati huo viongozi wa chama tawala wengi wanachofanya nikuiba na kula ; hawana muda wa nafasi ya kuziendeleza mali zao. Kila siku wanabaki kuwa watumwa wa mtawala wasikamatwe kwa wizi, ubadhirifu na ukwepaji wa kodi.

Vijana mnapotafakari kesho yenu, tangulizeni kwanza fikra na nguvu katika kutafuta utajiri wa haki ndipo mgombee nafasi za kuongoza watu kwa haki.

Mzee Mbowe na familia yake wanatufundisha umuhimu wa kujitegemea. Uteuzi iwe Sehemu tu ratiba ya maisha ila siyo maisha. Usipojifunza kusimama mwenyewe watakuoshiriki kukusimamisha lazima wakupe adhabu ya kulipa fadhila na kuwaabudu

Makazi ya Mbowe, utajiri wake na roho yake ikawe dira ya kutafuta utajiri na madaraka ya haki.

View attachment 2812303
MTOTO WA MAMA MBOWE.
AMERITHI UKWASI NA SIO FIGHTER KAMA MABROO WENGINE WA ENZI HIZO
 
YAANI MBOWE NDIO ATUPE MADARAKA YA HAKI???
HOW???
 
Hivi ruzuku ya Covid-19 inaingia wapi?
 
Cc darcity MoseKing Accumen Mo
 
Back
Top Bottom