Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

And before this war is over, we prove that even the god king can bleed.
Twende kazi lazima kieleweke hakuna cha iron dome wala nini hapa
 
Wakianza kupigwa kipigo cha Mbwa Koko,wasianze kulia lia Al-Jazeera Israel inaua watoto na akina Mama
 
Watu wanazaliwa kila siku,wanasoma ,wanapata mafunzo,ukiua 1 anawekwa mwingine.
Bado mataifa yana import watu wenye professional kwenda kufanya kazi.
Itafika mahala watajua kwa nini Jordan, Egypt, Saudis, UAE wamekaa pembeni, sio wajinga kushindana na mtu aliyekuzidi ni ujinga, ndani kabisa ya mifumo ya kiusalama ya Iran, Israel kapandikiza Mossad waarabu wenzao ndio maana anapata taarifa za uhakika hata location za viongozi wao na mipango yao mapema sana. Rais mstaafu wa Iran Ahmednajjad amekiri waliwahi kugundua mawakala 20 ndani ya kitengo maalumu cha kupambana na Mossad. Hata kifo cha Ibrahim Rais kwa ajali ya Helkopta ni shughuli ya Mossad, kuunganisha dots kumbuka kulipuliwa kwa pagers za wapiganaji wa Hezbollah tu huko Lebanon
 
Wanajipigia tu bila taarifa za inteligensia, wenzao wakipiga ujue gaidi amerest in pieces
 
Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga
 
Wale wako pembeni hawapati athari ya moja kwa moja na huyo msabato huwezi kumwambia mtu wa gaza ambae mizaituni yake inachomwa kila wanapojiskia akae mbali hio itakua ni akili kweli
 
wameshashiba hao,acha watufuane vizazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…