Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

NAPENDEKEZA KUWEPO NA LIKIZO ZA NDOA MKIKAA MIAKA 3 LIKIZO MIEZI SITA,ITASAIDIA SANA MTU ATAKUTANA NA MADUDU NDANI YA LIKIZO HIYO AKIRUDI ATAKUWA NA HESHIMA KWELI,ASIPORUDI PIA ITAPENDEZA SANA,MAANA NDOA NI HESHIMA ,SIO VIBAYA MTU AKAELEKEA UPANDE ATAKAOUHESHIMU.
Nakubaliana na wewe mkuu Bonge la wazo hili [emoji106][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Hizo ndoa 300 ni pamoja na zile "Sogea tuishi" au ni wale wa "Yes I do" pekee.

Je DSM ina jumla ya ndoa ngapi ili tuone kama hizi takwimu zinatisha au kawaida tu.

Actually "Haki sawa" na Usaliti pamoja na uchumi kuyumba vinaweza ongoza kwenye vyanzo vya kutalakiana.
 
Uongo mtupu.wanawake hutumia njia hiyo kusema ananitaka kinyume ili muachane.

Nina ushahidi wa kesi mbili za namna hii kwa watu ninao wafahamu.

Wanawake ni mama zetu na dada zetu lkn asilimia kubwa ni wapuuzi
 
ndoa inavunjwa halafu anakwenda kutoa jicho kwa jamaa mwingine ili amshawishi kumweka ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kiumbe mwanamke.
Usaliti kwa hawa viumbe hauwezi kukoma hata dunia ibadili uelekeo wa mzunguko. Na wakishagundua wameharibu hujitahidi kuligeuza hilo kuwa halali hata kuliambukiza kwa jamii na majirani. Hii tabia ni asili toka Eden. Eva alikula tunda kwa kulaghaiwa na nyoka, badala angevumilia dhambi ikabaki kwake; akala njama na kumshawishi mumewe naye aonje ili tu dhambi iwe halali kwa wote. Akabaki na ushahidi kwamba mbona hata wewe (mume) ulikubali haliyakuwa unajua ni kinyume na adili za Mungu[emoji23][emoji23].


Natafuta mwanasheria tufungue kesi ya msingi dhidi ya Eva kwa kuitumbukiza dunia kwenye dhambi yenye asili ya tamaa iliyochipuka kwa mwanamke.
 
Inaweza kuwa moja ya sababu kweli
Wanaume wa mavini wanaweza jamiiana na kiumbe yoyote kwao ndoa haina thamani
 
Sasa hivi na sisi wanaume tukitaka kuwaacha tuwasingizie wanataka tuwaingilie kinyume na maumbile kama wao wanavyotusingizua.

Au tuwasingizie hawatupi tendo lan Ndoa inavyopaswa wanakaa tu kama Gogo na hawanyonyi Koni ili tuvunje ndoa, wanatuchosha tu.

Au tuwasingizie walitaka kutuwekea sumu kwenye chakula chupuchupu tufe.

Nyie wanawake kwa mambo mnayotufanyia mngejua nyie jinsi tunavyowavumilia na kutunza Moyoni. I think siku moja tu itokee segment akinaBaba wote Tanzania au Duniani tuambiwe semeni ukweli jinsi mnavyonyanyaswa na wanawake hakika kesi zitakuwa nyingi mno.

Ila nyinyi wanawake pekee ndio mnajiona perfect na kama ndio mnanyanyaswa sana kuliko sisi. Ikifika siku ya akina Mama duniani(Siku ya wanawake Duniani) mnavyoishangilia basi na mnasahau kabisa kama na sisi wanaume tuna siku ya akina Baba duniani na tunaiacha ipite wima.

Mfano Mdogo tu ukija Ofisini kwangu kuomba kazi huku ukinitega nikikutongoza unasema nakunyanyasa kijinsia.

Wakati hata nyinyi akina Mama mnasahau kuwa mnapokuwa Mabosi na nikija kwako mimi kijana kuomba kazi ukinitaka kimapenzi kwanza kabla ya kazi pia ni Unyanyasaji wa kijinsia.

Mnalalamika tukiwaita nyie Wanawake majina kama MALAYA, MADEMU, CHURA, MAJI MARA MOJA na n.k.

Alafu mnasahau na nyinyi mnatuita Majina kama DANGA, SPONSOR na n.k. Mbona sisi hatulalamiki?

Mnatuambia tuna VIBAMIA

Ila sisi tukiwaambia mna MISHIMO mikubwa kwenye MBUSUSU(MAKU) zenu mnalalamika, eti unyanyasaji wa kijinsia

Wanawake bhana ni viumbe wa ajabu japo ndio Mama Zetu, tuwavumilie tu
 
Sijawahi kuamini watafiti wa nchi hii hovyo kabisa ni sawa na wale twaweza sijui nini. Nonsense.
 
Waweza kusingiziwa unataka kubaka Watoto wako wa kike au kuwalawiti wa kiume.

Na uking'ang'aniza ndoa ya hivyo utaishia jela.
Lazima polisi, daktari wahusike na inabidi hela itembee maana si rahisi
 
Tatizo
Ustawi wa Jamii

Dawati la Jinsia limejaa watu walioachwa

Takwimu zilitoka juzi kuwa ndoa zilizovunjika Tz nzima ni 1200 kwa mwaka mzima, iweje leo aseme 300 kwa mwezi?
Maana yake Dsm pekee 3600 kwa mwaka

Au kila siku 10
 
Wee jamaa unetoaa Siri kwa wapenda tigo jmn wadada watakoma watawekewaa San vidole kweny kuta hapo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hiyo ni female anatomy ya kawaida tu, kwani hadi leo haujajua ni maeneo gani ya siri ya mwanamke yanamfanya asisimke na kufurahia zaidi kabla na wakati wa tendo? kitu pekee sijawahifanya na sitakuja kufanya ni kuingiza mdudu wangu kwenye eneo linalotoa mavvi na ambalo najua mavvi yatakuwepo. ile harufu, ule uchafu, siwezi hata kwa mtu nisiyempenda siwezi.
 
Back
Top Bottom