Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Watu wanaliwa tope hadi huruma.

Wanatembea na vizibo huko nyuma maana wasipoweka vizibo.

Kunyea nje nje kuzurura na Nzi kama wapambe[emoji1][emoji1787]
 
Majitu hayaoni kinyaa unachomeka kwenye .... mmmh
Addiction mzee bonge la arosto.

Yaani ukishazama kule huwezi kutoka ndio bye bye.

Wanaishia tu kujikubali kwamba wao ni wakule wanadai WANAISHI KWENYE UHALISIA.[emoji1]
 
Angesema Wanawake husingizia sababu hiyo.

Nazijua kesi za namna hiyo, wanawake wengi wakitaka kukuacha au kukudhalilisha wanatabia ya kusema umewaomba kinyume na maumbile.
Akikusingizia hivyo na si kweli si unaomba ushahidi?

Iwe ni katika ofisi ya ustawi wa jamii au mahakamani, nitahitaji ushahidi wa sauti niliyotumia kumwomba au maandishi.

Kwishney.
 
Halafu hao hao wanasema wazungu ndio wana promote ushoga!
 
Wanawake wengine ni wahovyo sana,

Ulete kesi na ugomvi kwa mumeo kisa kuombwa nyuma,
Lakini huko nje unaitoa tundu bila shida..

Wanawake 90% ndy chanzo cha kuombwa nyuma.
 
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.

"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce

====

Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.

Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.

EATV
Unaletewa sababu za kitoto na wewe bila utafiti unakurupuka kwenda media kutangaza uongo. Hata yeye Joyce akiombwa nyuma na mumewe kama anaye haiwezi kuwa sababu ya kuachana kama kweli wanapendana.
Hakuna mwanamke wa kipindi hiki anaweza kuachika sababu ya kuombwa tigo nasema Hakuna. Hao waliompelekea sababu hiyo wanatafuta huruma tu.
Kwa maana hiyo ndoa nyingi zinazovunjika Dar sababu ni wanaume pekee?
 
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.

"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce

====

Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.

Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.

EATV
Watumishi wa Serikali ni wavivu sana, mtu bila aibu anakuja na visababu vya kutunga ofisini hakuna utafiti wowote alioufanya au hata kufuatilia matokeo ya tafiti ambazo zimeshafanyika.
 
Tatizo jamii imeamua kuwasikiliza wanawake kuliko wanaume na wanaume wameamua kukaa kimya mwanamke anafanya madudu yake anajificha kwenye suala la kuombana mzigo kinyume ili apoteze ushahidi.
Kuna wanawake washenzi kupita maelezo...kwa mume wake anaonekana hapendi na hajawai fanya michezo michafu ila huko nje ya ndoa kuna njemba inamfukua kama kawaida.
 
ndoa inavunjwa halafu anakwenda kutoa jicho kwa jamaa mwingine ili amshawishi kumweka ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kiumbe mwanamke.
Ni mama,dada,shangazi, watoto wetu ila wana usheitani fulani wa ndani sana.
 
Kazi kweli yaani unaacha kula utelezi kwa Raha unapenda kwenye mtaro na mitaro mingine Ina chupa na miba
 
Back
Top Bottom