Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
 
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.

"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce

====

Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.

Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.

EATV
Kama Pesa si sababu kuu iyo taarifa ni feki
 
Utafiti wake unakosa kitu kimoja,Wanawake wengi wakitaka kuvunja ndoa zao wanasingizia kwamba wameombwa unyumba huko kwenye hio njia.Hii nimeshuhdia kwa watu wangu wa karibu.Unakuta mwanamke anatafuta kisa ambacho shahidi atakuwa ni yeye mwenyewe na anajua akisema tu hivyo anakuwa amekufedhehesha so unajikuta huna namna zaidi ya kukosa nguvu.
 
Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Mmmmmmhmn hivi wewe ni mzima na sawa sawa kabisa zimetimia kichwani mwako au zimetimuka kichwani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angesema Wanawake husingizia sababu hiyo.

Nazijua kesi za namna hiyo, wanawake wengi wakitaka kukuacha au kukudhalilisha wanatabia ya kusema umewaomba kinyume na maumbile.
My friend,
Nimeshawahi kukutana na 2 cases zikiwa kwenye usuluhishi ngazi ya kanisa na zote zilihusisha mgogoro unaohusiana na wanaume kutaka mapenzi kinyume na maumbile.
In one of the case, mwanaume alikiri kabisa hawezi kuacha hiyo tabia mbele ya Padre, na mwanamke alikuwa anasimamia imani yake, mwisho ndoa ilivunjwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom