Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Duh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hapo mwanaume lazima uumbuke
Kufikia hapo utakuwa huna ujanja tena.
Ukiendelea na ubishi,
Atawasilisha hoja mbaya zaidi😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hapo mwanaume lazima uumbuke
ustawi wa jamii huwa nawashangaa sana, ni waongo na hawajui vitu mno. kwamba kweli ndoa zinaachika kwasababu ya kuomba tigo? Noo, nijuavyo, anaume wanaojielewa uwa hawawaingilii kirahisi au hata kuanzisha tu icho kitu kwa " mke wake", wengi hufanya huko kwa michepuko. pia, ukiona mtu anamwingilia mke kinyume na maumbile jua walianza kufanya hivyo tangu wakiwa wachumba hadi wakaoana. hakuna mtu mwenye ujasiri wa kumwomba tigo mke wa ndoa, labda kama amelewa na hata akiwa amelewa akijirudi kwenye akili zake huwa wanaomba radhi.Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.
"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce
====
Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.
Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.
EATV
Umenikumbusha kisa fulani,Angesema Wanawake husingizia sababu hiyo.
Nazijua kesi za namna hiyo, wanawake wengi wakitaka kukuacha au kukudhalilisha wanatabia ya kusema umewaomba kinyume na maumbile.
mwanamke anayejitambua, hasa mke, hata ukiweka kidole tu kwenye tigo anasikilizia, unakiingiza au kinasugua tu pale juu, ukiingiza dole mechi inaweza kuishia hapohapo....ila ukigusa tu au kutekenya kwenye tuta hapo ni poa, kwasababu kikawaida, pale kwenye ukuta kati ya O na Vagina, kuna misuli ya hisia kwa wanawake ambayo ukichakata sana huko mbele huku ukitekenya clitoris na occasionally kutekenya pale kwenye tuta, huwa inapelekea wajisikie vizuri, ila sio kuingiza dole hapana huo ni usodoma ni pale juu tu na katikati ya tuta. au mnasemaje wanawake?Yeye kaolewa na yupo kwenye NDOA, hebu tuanzie hapo. Maana nina wasiwasi na hizi tafiti za kushabikia ndoa kuvunjika au mahusiano kuonekana jehanamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahii kabisa,Wadada wakitaka kukinukisha na kuvunja ndoa hawatumii nguvu
Anatoa lalamiko tu ukweni "nalazimishwa kuingiliwa kinyume na maumbile"
Na ndoa inavunjwa chap
Kwamba unakibamia, humfikishi kileleni[emoji28]Kufikia hapo utakuwa huna ujanja tena.
Ukiendelea na ubishi,
Atawasilisha hoja mbaya zaidi[emoji23][emoji23]
Hata mimi siwez kuamini eti sababu ni hyo,baadhi ya wanaume tunatamani huko lakin sio mpaka tunapelekea kuvunja ndoa zetuSiyo kweli, wafanye research aje na sababu halisi na za kweli.
Kwa research ya JF tunajuwa sababu ni nini lakini siyo hiyo anayotaka kutuaminisha huyo Joyce.
Na sababu nyingine za hovyo alimradi kutudhalilisha akina baba.Angesema Wanawake husingizia sababu hiyo.
Nazijua kesi za namna hiyo, wanawake wengi wakitaka kukuacha au kukudhalilisha wanatabia ya kusema umewaomba kinyume na maumbile.
Duuuuuh! Hii sio kweliMfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Na sababu nyingine za hovyo alimradi kutudhalilisha akina baba.
Kweli kabisa, hiyo kinyume na maumbile ni kisingizio tuKUFUKUZWA KAZI
KUFILISIKA KIBIASHARA
KUPATA AJALI+ULEMAVU AU UGONJWA SUGU!
ukifilisika utajua mwanamke NI kiumbe cha aina gani!
Kwahiyo hakuna walalahoi wenye ndoa?KUFUKUZWA KAZI
KUFILISIKA KIBIASHARA
KUPATA AJALI+ULEMAVU AU UGONJWA SUGU!
ukifilisika utajua mwanamke NI kiumbe cha aina gani!
Naungana na wewe
Kutokana na wanawake kuwa na tamaa na ndoa kuwashinda, wanapokwenda ktk ustawi wanakwenda kusingizia vtu vya uongo
Ni nadra sana mwanaume kumwomba mke wake kufanya kinyume na maumbile..
Hii sababu inaelezwa na wanawake ili kupata huruma ya kuhalalisha kuachana na mumewe.
Afisa ustawi wa jamii amepotosha na anapotumia chombo kikubwa cha habari kusema hivyo anazidi kuharibu
Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Hawa wengine bila kumpigisha kwata kunakuwa hakuna jambo. Wachaka wakemanya kindo ki!😂😂
Ukidili na Mwanamke mhuni unatakiwa udili naye Kwa kiwango cha juu ambacho yeye mwenyewe asitishe vita.