The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsalitiSiyo kweli, wafanye research aje na sababu halisi na za kweli.
Kwa research ya JF tunajuwa sababu ni nini lakini siyo hiyo anayotaka kutuaminisha huyo Joyce.
Nguvu hasi ndiyo ipo nyuma ya mitandao. Mada za ajabu Kama hizi zinapigiwa baragumu Sana mitandaoni. Tangu asubuhi humu mnazungumzia punyeto na ufiraji. Kwa kuyazungimzia mnayapa nafasi ya vijana kujaribu na baadae kuwa tabia.
Mbona unajichanganya, mara mnaheshimu wake zenu, mara hamuwezi haribu mlipowekeza hapo hapo mara sijui kakuona takataka sasa unaewekeza vipi kwenye takataka kama wewe si ndio takataka +++Mwanaume hana asili ya kubomoa alipowekeza nguvu zake that's why mume anaweza kuzini nje ya ndoa ila akaheshimu nyumba yake maisha mke hata amkorofishe vipi hukuti akijaribu kuionyesha hiyo hali,mwanamke akizini nje ya ndoa haraka sana ataonyesha mabadiliko,usichukulie akili za mwanamke ukazifananisha na za mwanaume.
Wewe unaishi na mume?unao rafiki zako wenye waume?kama ndiyo ukimuangalia mumeo kwa akili zake hata kama mlevi anaweza leo akakwambia anataka akubomoe nyuma?wanawake mnapenda ku-share story hata mara moja kuna rafiki yako aliyewahi kukudokeza mumewe kutaka huo ushenzi ndani ya faragha zao?
Wanaume tunajiheshimu na tunaheshimu wale tunao-share nao maisha mimi leo ndani ya ndoa nina watoto watatu siwezi kumwambia mke wangu nataka mapenzi kwake kinyume na maumbile what a shame?kama hiyo ndo sababu kwa mujibu wa utafiti wenu kwanini hao wanaoombwa wasiwanyime hiko kitendo na wakabaki ndani ya nyumba zao kama wanavyowanyima tendo halali la ndoa still wakaishi humo humo ndani wakijitapa?
Mtasema mtalawitiwa kwa nguvu?wapi rahisi uume kuingia mbele au nyuma?obviously ni mbele sasa kama ni hivyo mbona mnanyima waume zenu tendo mbele mnaishi nao bado ila issue ya nyuma ambako siyo rahisi uume kuingia mnahama nyumba?bado alarm kichwani mwako haijalia tu?na ni Dar tu kumeonekana hili tatizo ambako 96% majority wanakimbizana na maisha yumkini tusiamini ni jamii KE kutaka kujionyesha nao wamo ktk nguvu za maisha?kwamba "bila wewe nitaishi tu as long as natoka asubuhi njiani napigiwa miluzi jioni narudi na cent mkobani usinibabaishe"
Ukiona mwanaume anakuomba mapenzi kinyume na maumbile hata kama umesoma vipi jua ameshakusoma kichwani akili huna na amekuona takataka na mwanaume akishachagua mke wa kulea watoto wake hawezi kumgeuza takataka (wapo wasiokuwa na maadili lakini ni 1% ktk 100%)
Mara zote hiyo jinsia yako hamna moral ya kufanya mjadala bila ku-provoke!Mbona unajichanganya, mara mnaheshimu wake zenu, mara hamuwezi haribu mlipowekeza hapo hapo mara sijui kakuona takataka sasa unaewekeza vipi kwenye takataka kama wewe si ndio takataka +++
Hizi heshima zenu za ajabu ajabu mnazodai mko nazo kwa wake zenu zinashangaza kidogo. Unamsaliti vipi mtu unayedai unamuheshimu?
Basi kwa heshima hizo ndio wake zenu hao wamesema mnawaomba huko, na si mara ya kwanza haya yanasemwa.
Hivyo mjitafakari mnakoelekea kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Sasa ndio wake zenu hao wamesema mnawaomba, sasa kama wao ni takataka nyie sijui ni vitu gani mliooa takataka.Mara zote hiyo jinsia yako hamna moral ya kufanya mjadala bila ku-provoke!
”NIMEKWAMBIA WEWE AU RAFIKI YAKO MKIOMBWA MAKALIO NA WANAUME ZENU MJUE WAMEWADHARAU NA KUWAONA TAKATAKA,siyo (WAUME maana automatically WAUME huheshimu faragha za wake zao) ”
Soma uelewe usisome ili kubishana.
Weka uzoefu wako hapa. Mnataka kutudhalilisha hakuna kingine.Mmmh