Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Ndugu jihadhari na mawe watakayokurushia wanafikuna kwa hii fact yako hapa😂😂😂😂
 
Tatizo jamii imeamua kuwasikiliza wanawake kuliko wanaume na wanaume wameamua kukaa kimya mwanamke anafanya madudu yake anajificha kwenye suala la kuombana mzigo kinyume ili apoteze ushahidi.
Kabisa, mashirika kibao yamekaa kimikakati tu kutetea jinsi ya Ke ilihali Me hana shirika hata 1 la utetezi wa haki zake.
 
ustawi wa jamii huwa nawashangaa sana, ni waongo na hawajui vitu mno. kwamba kweli ndoa zinaachika kwasababu ya kuomba tigo? Noo, nijuavyo, anaume wanaojielewa uwa hawawaingilii kirahisi au hata kuanzisha tu icho kitu kwa " mke wake", wengi hufanya huko kwa michepuko. pia, ukiona mtu anamwingilia mke kinyume na maumbile jua walianza kufanya hivyo tangu wakiwa wachumba hadi wakaoana. hakuna mtu mwenye ujasiri wa kumwomba tigo mke wa ndoa, labda kama amelewa na hata akiwa amelewa akijirudi kwenye akili zake huwa wanaomba radhi.

kinachovunja ndoa nyingi ni feminism, wanawake kujifanya wapo sawa na wanaume, pia uzinzi na maisha magumu. wanaume wanashindwa kuwatunza wake zao na familia kiasi kwamba wake huwa wanajikuta wamechepuka bila kujipendea na wakizoea ndio dharau zinazidi na siri hizo zikifichuka ndio magomvi yanaingia kwenye familia hadi kuachana. pia, wanaume kufumaniwa au kujulikana na wake zao kuwa wanatembea na michepuko, magonjwa ya zinaa n.k, ndio vyanzo. ila sio kweli kwamba kuombana tigo ndio kiwe kigezo. hakuna mwanaume anayempenda mke wake anayeweza kumwomba tigo, hayupo, na ukiona mwanamke anatoa tigo ujue walianza kabla hawajaoana na wamekuja kuendeleza kwenye ndoa na kwa sababu hiyo mwanamke huyo hana haja ya kulalamika.

kuna demu mmoja aliwahi kunishirikisha hizo tigo kwamba bwanake anamtaka tigo, na yeye hatatoa tigo labda mumewe aweke cruser hapo nje kwamba atamnunulia kama zawadi. nilishangaa kumbe likiwekwa cruser hapo anaweza kutoa tako, na kwasababu hiyo hata kama hatato akwa mumewe mchepuko huko nje ukiweka mzigo hapo anatoa kiurahisi tu. ujinga mtupu.

kitu chengine, watu kama kina joyce kiria na takataka zengine za gender huko, wanaharibu sana akili za wanawake.
Mkkwako ni mchepuko kwa mwingine hivyo kama ni wanaume kuomba kwa michepuko jua kwamba na mkeo anakuwa keshaliwa huko kwa wake
 
Angesema Wanawake husingizia sababu hiyo.

Nazijua kesi za namna hiyo, wanawake wengi wakitaka kukuacha au kukudhalilisha wanatabia ya kusema umewaomba kinyume na maumbile.
Hi sasa ndio inatakiwa kuwa koment ya jibu Hilo na ingebakia hapo hapo tuijadili na siyo blah bhlas aliyoyaongea huyo afsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Walio like koment yako Ni wafiraji wote[emoji6]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utafiti wake unakosa kitu kimoja,Wanawake wengi wakitaka kuvunja ndoa zao wanasingizia kwamba wameombwa unyumba huko kwenye hio njia.Hii nimeshuhdia kwa watu wangu wa karibu.Unakuta mwanamke anatafuta kisa ambacho shahidi atakuwa ni yeye mwenyewe na anajua akisema tu hivyo anakuwa amekufedhehesha so unajikuta huna namna zaidi ya kukosa nguvu.
Nimeogopa San maanke hata braza angu mmoja nae alikimbiwa na mke akaaenda kumtangaza kuwa jamaa alikuwa anamuomba nyumaa jmn wanawake siyo POA kbsaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama ndo msomi anatishia uhai wa elimu

Mi darasa la nne nachoona ni wanandoa wengi kwa sasa sio waaminifu katika ndoa zao

Michepuko ming na ndio hata mauaji kwa sasa ni mengi ya wivu wa kimapenzi

Arudie utafit wake la sivyo ajiunge la sita yetu
 
mwanamke anayejitambua, hasa mke, hata ukiweka kidole tu kwenye tigo anasikilizia, unakiingiza au kinasugua tu pale juu, ukiingiza dole mechi inaweza kuishia hapohapo....ila ukigusa tu au kutekenya kwenye tuta hapo ni poa, kwasababu kikawaida, pale kwenye ukuta kati ya O na Vagina, kuna misuli ya hisia kwa wanawake ambayo ukichakata sana huko mbele huku ukitekenya clitoris na occasionally kutekenya pale kwenye tuta, huwa inapelekea wajisikie vizuri, ila sio kuingiza dole hapana huo ni usodoma ni pale juu tu na katikati ya tuta. au mnasemaje wanawake?
Wee jamaa unetoaa Siri kwa wapenda tigo jmn wadada watakoma watawekewaa San vidole kweny kuta hapo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
KWA ASILI MWANAMKE ANA TUMIA MANENO MAKALI KUMUUMIZA MWENZIE
1.KIBAMIA
2.KINYUME NA MAUMBILE
3.HAMRIDHISHI
4. ANA MCHEPUKO

KAWAIDA UJASIRI WAO UKO MDOMONI, UDHAIFU UKO MOYONI.
NDIO MWANZO WA SAFARI ZILE ZA KUSHTUKIZA KWENYE MAKANISA YA MANABII NA MITUME, KUITAFUTA MIUJIZA NA UPAKO. NA HII NI BAADA YA DAWA ZA WAGANGA WA KIENYEJI KUSHINDWA.

NDOA ZINAKUFA KWA SBB:
1.JEURI
2.KIBURI
3.DHARAU
Hili chapissho lipelekwe huko eatv na aest Africa redio

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom