Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Huu ndio utafiti mpya uliobaonisha kusababisha ndoa nyingi kuvunika hasa huko Dar..

Nyie kizazi cha nyoka acheni ufirauni 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220906-195828.png
    102.5 KB · Views: 13
Mm nilijua anasema wengi wanatoka nje ya ndoa wanaonja tigo, anaona ndoa haina maana wanafuata tigo, tigo sio sbb kabisa ya ndoa kuvunjika, huenda inaimarisha ndoa ikifanywa vizuri kwa maandalizi mazuri. Alafu watu walikuwa wanafanya hii starehe tokea enzi na ndoa hazikuvunjika..

Mm nadhani angesema Utandawazi, pia wanaume na wanawake wa kileo utii au heshima ndogo sana kwenye ndoa. Ila wala msisingizie tigo, najua huu ujumbe mafirauni yatanipa like nyingi sana.
 
Watu wa spinning washafanya yao , wabongo wepesi kusahau.

Hizi ndio mada wanapenda na leo imetupwa tu imetrend washasahau tozo na mijadala yenye mantiki.

Suala la ndoa ni baina ya mume na mke sasa hayo mambo ya kinyume na maumbile watafiti waliona wapi ?

Walishindwa kutafiti na kuleta matokeo kwa vitu vyenye tija.?
 
Nguvu hasi ndiyo ipo nyuma ya mitandao. Mada za ajabu Kama hizi zinapigiwa baragumu Sana mitandaoni. Tangu asubuhi humu mnazungumzia punyeto na ufiraji. Kwa kuyazungimzia mnayapa nafasi ya vijana kujaribu na baadae kuwa tabia.
 
Nguvu hasi ndiyo ipo nyuma ya mitandao. Mada za ajabu Kama hizi zinapigiwa baragumu Sana mitandaoni. Tangu asubuhi humu mnazungumzia punyeto na ufiraji. Kwa kuyazungimzia mnayapa nafasi ya vijana kujaribu na baadae kuwa tabia.

Kutoyaongelea kwenye dunia ya leo ni kujidanganya tu brother, dunia ipo kiganjani na ukiona aibu kukaa na watoto wako na kuwapa elimu sahihi bhasi wataenda kupewa ya mtaa ambayo ukija kushtuka, ushapoteza wanao
 
Mbona unajichanganya, mara mnaheshimu wake zenu, mara hamuwezi haribu mlipowekeza hapo hapo mara sijui kakuona takataka sasa unaewekeza vipi kwenye takataka kama wewe si ndio takataka +++

Hizi heshima zenu za ajabu ajabu mnazodai mko nazo kwa wake zenu zinashangaza kidogo. Unamsaliti vipi mtu unayedai unamuheshimu?
Basi kwa heshima hizo ndio wake zenu hao wamesema mnawaomba huko, na si mara ya kwanza haya yanasemwa.

Hivyo mjitafakari mnakoelekea kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Mara zote hiyo jinsia yako hamna moral ya kufanya mjadala bila ku-provoke!

”NIMEKWAMBIA WEWE AU RAFIKI YAKO MKIOMBWA MAKALIO NA WANAUME ZENU MJUE WAMEWADHARAU NA KUWAONA TAKATAKA,siyo (WAUME maana automatically WAUME huheshimu faragha za wake zao)

Soma uelewe usisome ili kubishana.
 
Sasa ndio wake zenu hao wamesema mnawaomba, sasa kama wao ni takataka nyie sijui ni vitu gani mliooa takataka.

Si huwa mnajisifia humu upuuzi, mbona leo mnajikana? Au kwakuwa hizo mnazodai faragha zenu zimewekwa wazi? Muache mambo ya ajabu.
 
HII KUFANYA NDOA KAMA UNGANIKO LA MILELE AU KIFO KIWATENGANISHE HALINA MAANA YOYOTE KABISA, UKRISTO UANGALIE UTARATIBU MPYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…