TrueThese are going to cook data. hawatampata mtu kuanzia kesho, tumepoteza muda kuwasubiri imetoka hiyo .. rubbish! johnthebaptist
Kuna watu walidandia fuso jana Kiomboi wamesafiri usiku kucha kwenye gari, mtazungukia magari yote kusaka taarifa zao?Kuna madodoso ya makundi maalum mfn wasafiri waliolala guest house watoto wa mitaani makahaba wanaojiuza waliolazwa mahospitalini walio kwenye mabweni mahotelini n.k kwa kifupi hakuna atakayeachwa usidhani hilo halikuwekwa katika consideration
🤣🤣😂😂😂Kuna viwili vimemwagikiwa na supu ya utumbo. Vikagoma kufanya kazi.
Aidha Taarifa zao zimeachwa mahala walipotokea au watakapofikia watahesabiwa au watahesabiwa kama wasafiri.Nasisitiza hakuna atakayeachwa!Kuna watu walidandia fuso jana Kiomboi wamesafiri usiku kucha kwenye gari, mtazungukia magari yote kusaka taarifa zao?
Dunia haiwezi kusubiri watu wasioelewa. Watu wanapaswa kujichangamsha na kuelewa mambo yalivyo.Kaka hilo la kusema watu hawaelewi, watanzania wangapi wanaelewa? Wana elimu hiyo ya kuelewa? Hata maswali tu ya sensa yanazunguka WhatsApp. Kuna mtu hata simu hana. Si bora wangekusanya hizo taarifa manually tu.
Hivi Hajat Amina Mrisho Said Yuko wapi ?aliratibu zoezi la sensa la mwaka 2012 vizuri sana na hizi figisu hatukuzisika Sasa Hali imekuwa si Hali zoezi muhimu hili linaenda kufeliKutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko?
Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila kujijua.
Mfano leo, nipo kwangu Lushoto hamjaja. Kesho nitakuwa safarini Ludewa ndio mtakuja kwangu Lushoto, nikifika Ludewa nitakuta mmeshapita, hapo nani kamchenga mwenzake.
Zoezi mmeliharibu wenyewe
Maelekezo yao yalikuwa kuhesabu watu waliolala kwenye nyumba husika usiku wa kuamkia tarehe 23 August 2022Mfano leo, nipo kwangu Lushoto hamjaja. Kesho nitakuwa safarini Ludewa ndio mtakuja kwangu Lushoto, nikifika Ludewa nitakuta mmeshapita, hapo nani kamchenga mwenzake.
Kwenye takwimu kuna kitu kinaitwa "recall bias", mpaka sasa kuna watu wameshasahau ni akina nani walilala kwenye nymba yao usiku wa kuamkia tarehe 23 August, kuna watu watahesabiwa zaidi ya mara moja au hawatahesabiwa kabisa. Hii itachananya uhalisia wa takwimu zitakazopatikana, mimi niko dsm lakini hadi leo sijahesababiwa sembuse huko kamsamba?Maelekezo yao yalikuwa kuhesabu watu waliolala kwenye nyumba husika usiku wa kuamkia tarehe 23 August 2022
Bahati mbaya sana hili hata mabalozi (wajumbe wa nyumba 10) hawalielewi
Lakini swali linakuja kwa yule ambaye alilala hotelini usiku huo atahesabiwa wapi? Hii sensa itakuja na data za kupikwa tu
Hajabadili gua sema ni upuuzi wako wa kutoelewaKutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko?
Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila kujijua.
Mfano leo, nipo kwangu Lushoto hamjaja. Kesho nitakuwa safarini Ludewa ndio mtakuja kwangu Lushoto, nikifika Ludewa nitakuta mmeshapita, hapo nani kamchenga mwenzake.
Zoezi mmeliharibu wenyewe
Mpuuzi ni mama yakoHajabadili gua sema ni upuuzi wako wa kutoelewa
Kwa iyo ulidhani nchi nzima wangemaliza siku hiyo kuhesabu? Ulikuwa husikii matangazoThese are going to cook data. hawatampata mtu kuanzia kesho, tumepoteza muda kuwasubiri imetoka hiyo .. rubbish! johnthebaptist
It was possible to do that in a single day. How? Every ten-cell leader with 4 clerks can manage to finish within a day the ten houses. And you select the clerks from within those ten houses whenever possibleKwa iyo ulidhani nchi nzima wangemaliza siku hiyo kuhesabu? Ulikuwa husikii matangazo