Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

Hivi mimi ndo sijui kuzidisha??

kaya 577,000× 5(wastani wa wanakaya)=2,850,000

kwo kwa haraka tuna watu 2850000 tu??
Uwe unasoma na kumaliza, hiyo ni hesabu ya Tabora, imetolewa na Batrida ambaye ni MMkoa wa Tabora
 
Ee Myezi Mungu wafanyie wepesi wasomi wote wanaodhalilika kwa kosa ajira, waepushe na masimango wape ujasiri wa kutokujiunga na uhalifu na wajalie afya imara. Amen
Tuamka tufanye kazi, tuache lalama
 
Cha ajabu wasomi uchwara watakuja kumshambulia hapa, kijana ana nguvu zake na ni msomi ila hafanyi chochte analala tu kama demu na kusubiri msosi wa shikamoo..
Na wengi ndo tulivyo
 
Usisubiri serikali ikuajili, kawe hata machinga...
Na ndo maana kasema wasiosoma wanajishughulisha, waliosoma wanakula bure ie kama wewe
 
Ni speaker mstaafu anapata 80% ya stahiki za Spika aliyeko,ni Mwenyekiti wa NHIF iliyofilisika na ni kamisaa wa sensa na upuuzi mwingine..

Majitu kama haya yasiwe yanathubutu hata kunyanyua midomo yao.
Kaongea ukweli
 
Yeye mwenyewe amefeli io sensa [emoji23][emoji23]. Mwezi mzima hajatupatia idadi ya watu. Wanakusanya na tablets ilitakiwa idadi ipatikane in real time
Sensa inahitaji kuchakata data
 
Ana uhakika gani kuwa mfumo wa elimu yetu unawasaidia vijana wajiajiri, hiyo mitaji amewapa? Anadhani kuna mtu anapenda kukaa tu kwa mzazi aendelee kuwa mzigo,,,,, Marehemu Hamza ilibidi angepita na watu kama hawa angewaacha police
Hao wengine mitaji wamepata wapi?
 
Anna Makinda asiwaumize kichwa, hapo alipo hana MUME wala MTOTO mishahara na posho zake zote zinaishia kwa SANGOMA/WAGANGA WAKIENYEJI.
Hela ndo muhimu, hayo mengine sio muhimu
 
wasomi ni watu wa aina gani? yaweza kuwa mm siwajui
 
Kweli kabisa mkuu
 
Huyo maza na domo limekaa upande Kama nanii ya mbuzi mpuuzi kashiba anaropoka tuu sensa yenyewe nimekosa mbwa tuu huyo tamisemi course yangu bedadec hawataki kuniajiri mbwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…