Salaam ,Shalom!!
Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi?
Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi kuwa na BIBLIA kwenye simu Yako ni mbadala wa kuwa na BIBLIA halisi, la hasha, ninachokiongelea ni umuhimu wa kuwa na NENO la Mungu Kwa ukaribu zaidi kulingana na mazingira ya sasa.
(Zaburi 119:105) Says:
NENO la Mungu ni taa ya miguu yangu,na mwanga wa njia yangu.
Stuka mapema, download neno la Mungu ndani ya simu Yako, na jiwekee Utaratibu wa kusoma angalau page Moja au chapter Moja Kwa siku au zaidi ya hapo.
ANGALIZO: Ujumbe huu ni special Kwa Wana wa Mungu,WANADAMU halisi wenye asili Toka juu.
Mungu awabariki nyote.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala ifuatayo;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN