- Thread starter
- #21
Maoni ya waandishi wengine wakija watatoa maoni Yao.Hayo yote umeyesoma kwenye Bible je waandishi wengine wa vitabu wanamaoni gani kuhusu hayo?
Muhimu ni kustuka sasa na kudownload neno la Mungu, na kulisoma Ili usiwe mshamba!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni ya waandishi wengine wakija watatoa maoni Yao.Hayo yote umeyesoma kwenye Bible je waandishi wengine wa vitabu wanamaoni gani kuhusu hayo?
Nimewashauri na kuwastua kuwa kutokuwa na bible kwenye smartphone Yako ni ushamba mkuu,Kijana unaanza kuchanganyikiwa Sasa.
Unapangia vipi watu matumizi ya SIM zao
Ubarikiwe mwana wa Mungu.Mkuu naunga mkono hoja.....
Usikurupuke,We mbaguzi, mbona hujazungumzia waislamu na Quran..kwa taarifa yako wewe ndio mshamba. Kwenye suala la imani huwezi kuwapangia watanzania milioni 60 cha kufanya kuhusu imani zao...kwamba watanzania milioni 60 wawe na app ya biblia kwenye simu zao..rubbish.
Mwanadamu hana asili ya kutenda wema hata ufanyaje ubaya wako lazima uzidi wema uutendaoKama sina bible katika simu Ila natenda mambo mema je hiyo imekaaje?
BIBLIA/ Neno la Mungu,limesheheni Maarifa yote ambayo ni muhimu Kwa mwanadamu,Biblia ndio kitabu maarufu kuliko kitabu kingine chochote duniani.
Soma thread isemayo;Kwahiyo sisi wengine siyo Wanadamu halisi?
Ubarikiwe mwana wa Mungu.Rabbon Wewe Umebarikiwa Sana
Mimi nasomaga Bible nilikua nasoma hivi vitabu
-Walawi 15:8
-Yohana 9:6
-Marko 8:23
-Marko 7:33
Hivi kuna namna ukibadilisha simu na una baadhi ya mistari ya Biblia uli'highlight ukaweza kuiona tena?Rabbon Wewe Umebarikiwa Sana
Mimi nasomaga Bible nilikua nasoma hivi vitabu
-Walawi 15:8
-Yohana 9:6
-Marko 8:23
-Marko 7:33
Unaweza hata wewe kuwa hivyo,Siku moja nimepanda mwendokasi, naona dada anasoma Bible yake, mtu wa hivi nahisi ni mtu mwema tu yani. Mbezi hadi Posta mtu anasoma tu Bible yake...
..sisi wengine tulishakata kamba mda, Bible zipo ila zipo kwenye "sleeping mode"
Mwamposa hajatajwa popote katika BIBLIA.Hongera kwa kuwa Chakula ya mwamposa
Soma na vitabu vingine upate maarifaMaoni ya waandishi wengine wakija watatoa maoni Yao.
Muhimu ni kustuka sasa na kudownload neno la Mungu, na kulisoma Ili usiwe mshamba!!
Muda wa Ibada ni muhimu kutumia bible hard copy,Hili la wasabato kutumia Biblia za kwenye simu siku ya Ibada naona limewatoa kwenye reli.
Je kama mtu anaangalia mambo yake binafsi je? Wakati wa Ibada.
Sahihi ni kutumia kitabu cha Biblia.
U mmoja kati ya wale waliobarikiwa na Mungu.View attachment 3062048
Asante mleta mada.
Umeshauriwa tu kutokuwa mshamba.Simu yangu bado mtu anatokea huko ushilombo anakuja kunipangia chakufanya!?wapangie familia yako👹👹
Nadhan labda kama ulingiza e-mail yako kwenye hiyo Bible app, So uki'ingiza tena e-mail kwenye App ingine ndo ilete na taarifa zileeHivi kuna namna ukibadilisha simu na una baadhi ya mistari ya Biblia uli'highlight ukaweza kuiona tena?
Maana hii kwangu imekuwa changamoto...