Makinika, kumiliki smartphone bila kudownload BIBLIA ndani yake, ni ushamba mkuu!!

Makinika, kumiliki smartphone bila kudownload BIBLIA ndani yake, ni ushamba mkuu!!

BIBLIA/ Neno la Mungu,limesheheni Maarifa yote ambayo ni muhimu Kwa mwanadamu,

Intelligence,siasa, mavumbuzi, Kweli, HAKI, ustaarabu, unyenyekevu, HEKIMA, Elimu Bora nk nk vyote vimo ndani ya BIBLIA.

Wanajeshi wa Israel wawapo vitani, lazima wabebe BIBLIA.

Mungu akubariki.
Amen.
 
Nimewashauri na kuwastua kuwa kutokuwa na bible kwenye smartphone Yako ni ushamba mkuu,

Sasa ni uamuzi wao waendelee kuwa washamva au wakubali Elimu mpya yenye thamani Kwa Roho zao.

Vipi wewe unayo Bible kwenye smartphone Yako?
Bible ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom