BIBLIA/ Neno la Mungu,limesheheni Maarifa yote ambayo ni muhimu Kwa mwanadamu,
Intelligence,siasa, mavumbuzi, Kweli, HAKI, ustaarabu, unyenyekevu, HEKIMA, Elimu Bora nk nk vyote vimo ndani ya BIBLIA.
Wanajeshi wa Israel wawapo vitani, lazima wabebe BIBLIA.
Mungu akubariki.