mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Njaa mbaya sana.mimi nilidhani atasusia bunge ategemee pension ya spika mstaafu.kumbe anatamani hata posho za vikao.ππππππ
Hivi unaelewa Pensheni anayovuta kama Spika Mstaafu?Maisha safari ndefu
Maisha mwendo mdundo
wengi waliyachezea haya maisha
sasa wajuta na kifikiri
kiwa maisha faina fainali ipo uzeeni
a1ia
Zomea ya kijanjaZomea
Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Kumbe na ndugai anaogopa kufutwa ubunge kwa kutohudhuria mikutano 3!???? ππππππ
Shujaa wa Tanganyika ndani ya nyumba!!
Saccos ya gaidi wamenuna ndugai kuwa bungeni
maisha bila unafki hayaendi ndugu we mwenyewe una unafki pahalaUnafiki ni sifa inayo ambatana na tabia za kufata mkumbo na kutokuwa na msimamo kwa hiyo usishangae sana watu kupigiwa makofi au kusifiwa na watu walio waponda sana!View attachment 2186105
Tuseme ukweli, hatujawahi kuwa na spika mbabe Kama kitu Ndugai!! We msikie tu! Mwulize Zito akusimuliye!
Unless huwajui CCM wewe, fanya kiburi hata hio posho ya spika mstaafu unaweza ukapigishwa mark time ukabaki kupiga mihayo tu!Mimi ningemuona shujaa Kama asingekanyaga bungeni. Ila kitendo Cha kukanyaga bungeni Ni ishara kuwa ana njaa Sana na anoagopa kufukuzwa bungeni.
Wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.... Tanzania ni nchi ya Wanafiki kwa kiwango cha juu.Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Chawa Uchawa yaani movie tupu!Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?