Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

Atake asitake lazima tumwongezee muda! Ndugai fala Sana!
 
wamemmiss swahiba wao na makofi ni ishara ya kumkaribisha..
 
Kwani huwajui wabunge wa CCM? Wenyewe hupiga makofi kwenye vitu vya kijingakijinga tu,kama watoto vile
 
Mimi ningemuona shujaa Kama asingekanyaga bungeni. Ila kitendo Cha kukanyaga bungeni Ni ishara kuwa ana njaa Sana na anoagopa kufukuzwa bungeni.
Alikuww anapitia mulemule Lissu alipitia
 
Kwani huwajui wabunge wa CCM? Wenyewe hupiga makofi kwenye vitu vya kijingakijinga tu,kama watoto vile
Yeye mwenyewe Ndungai alipata kusema "kuna wabunge huwa wanapiga makofi bila kujua wanapigia nini" ...huenda hata hapo wanapiga makofi hawajui kama yupo humo ndani🀣
 
Unafiki ni sifa inayo ambatana na tabia za kufata mkumbo na kutokuwa na msimamo kwa hiyo usishangae sana watu kupigiwa makofi au kusifiwa na watu walio waponda sana!View attachment 2186105
Huyu zitto itakuwa kuna 'makamanda' fulani aliwapa cha kati, xi kwa kumwandama na kumchukia huku!
 
Njaa mbaya sana.mimi nilidhani atasusia bunge ategemee pension ya spika mstaafu.kumbe anatamani hata posho za vikao.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
alijishauri sana
 
Hivi unaelewa Pensheni anayovuta kama Spika Mstaafu?

Wewe tafuta Riziki yako,mambo mengine unayapita tu.

Huyo jamaa hayuko kundi la walala hoi kwa maisha yake yote.
pension hakuna, yeye kafurushwa kazi ya uspika, ataambulia ile ya ubunge ndio maana amerudi mjengoni. vigezo na masharti vya kuwa spika mstaafu havijatimia. wajuzi watasema
 
Hizo ni Nyakati tu ambazo binadamu hupitia.

Nimpongeze kwa uvumilivu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…