Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
WENGINE WAKIPIGA MAKOFI, HUTAKA UMALIZE HARAKA HICHO UNACHIKIFANYAUnafiki mtupu. Kumbuka si kila makofi ni ya kushangilia, mengine ni ya kuzomea na kusanifu.
Hili dudu hili Mungu mwema sana kama Mandonga vileUpendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Hao wote ni kijani, mafisadi na wezi wa kuraUpendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Hata mimi nimeshtuka na kuwa confused!!!Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Nahisi yanamaanisha mwana mpotevu.Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Hilo bunge alisema bwege ni la "mmeshiba ndio, mnanjaa ndio"!
Na ww kwann umekomalia ni unafiki tuu na sio kuweka mizani sawa bila kuegemea upande wowote.?Unafiki mtupu. Kumbuka si kila makofi ni ya kushangilia, mengine ni ya kuzomea na kusanifu.
Picha ina uhusiano gani? na ulichoandikaUnafiki ni sifa inayo ambatana na tabia za kufata mkumbo na kutokuwa na msimamo kwa hiyo usishangae sana watu kupigiwa makofi au kusifiwa na watu walio waponda sana!View attachment 2186105
Wanaunga mkono hoja zake kuhusu madeni lkn hawana meno kumtetea kwa bosiUpendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
Ushujaa wa kuitetea nchi yake,na kuongea bila woga kile anachoamini ni sahihi.Na mimiπππππππ.Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?