Makomandoo wa JWTZ wawa kivutio ktk Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Si uhame nchi, ile ilikuwa kuonesha how competent and strong they are, we unadhan ndo kazi yao kuvunja matofali? Msogelee bas uone shughuli yake
 
Hivi mnajua maana ya baunsa au mnapenda tu kurusha rusha maneno bila hata kujua maana yake?
 
 
sasa walitaka wakate viuno ndiyo wajue kuwa ni makomandoo?

Kuna vitu vya msingi vya kuhoji ndiyo maana tunahitaji kuwa na tunu za Taifa kwa ajili ya kulinda na kuhifadhi heshima, utu na misingi ya Taifa.

Ninyi ndio mnaotakiwa kupelekwa mstari wa mbele kabisa pindi vita vinavyotokea ili kupima nguvu za adui.
 

Unadhani wao hawajui wanachokifanya au hawajui umuhimu wa ubongo?
 
Kuna kitu sikuelewa pale,, wale walikuw makomandoo au wale mabaunsa wao wanaong' oaga watu kucha, memo, na macho???? Kama vile wamekuja kuwakisha kina CC
Ndo tatizo la kusepa mafunzo ya mgambo, na JKT!
 
Dunia Nyingine hii jamani! vita vinapigwa kisayansi! mtu yupo america, anakundia tz. utamfanya nini na misuli pekee?
Hata watumie vifaa vya gani kisayansi mwanajeshi lazima awe na mafunzo ukakamavu, nimeona wamerekani wakipigana na bag mgongoni lenye uzito usipungua kg 15. amevaa kofia ya chuma kg 1. Burlet proof kg 8. Bunduki kg 3. Hivi vifaa mjeruma huwa navyo vitani hasa asikari wa miguu.
 
hahahahaaaa, labda anadhani jamaa wameamka na kuamua tu 'aaaa leo tukapige ngumi (ama vichwa) matofali!!! ' If they think those guys (comandos) can't, they can show them that they can!
Unadhani wao hawajui wanachokifanya au hawajui umuhimu wa ubongo?
 
yaani nikifiria hawa vimbaumbau ndio walikuwa wanatutishia nyau, walikuwa hawajui nini? walichapwajeee.

sultani makenga: M23. source: congo planet
 
Kuna kitu sikuelewa pale,, wale walikuw makomandoo au wale mabaunsa wao wanaong' oaga watu kucha, memo, na macho???? Kama vile wamekuja kuwakisha kina CC

Mabaunsa wapo club billicanas
 
Jamaa wanapasulia matofali ya sementi vifuani..., jamaa wanapigwa mipini mikubwa kibao inakatika katika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ukitaka kujua kama makomandoo au mabaunsa ni rahisi sana.
Procedures.
1.Mtafute rafiki yako kisha mkabithi fimbo kubwa, matofali ya kuchoma na cement n.k.
2. mpe kazi ya kukutandika na fimbo mwili mzima hadi ikatike katike yote.Kama bado hujaelewa
3. Mwambie akupige na tofali la kuchoma kichwani hadi lisagike lote.Kama bado hujaelewa,
4. mkabidhi matofali mawili na nyundo ya mawe.Mwambie ayaweke kifuani kwako kisha ayapasue kwa nyundo. Bila saka utakuwa umeelewa baada ya hapo.Tehe! tehe!
 
!
!
siku nyingine watazuia gari kwa meno

Unadhani unajua lakini wewe ni mbumbumbu ktk mambo ya ulinzi na jeshi.
Makomandoo no wanajeshi waliopata na kufuzu mafunzo maalum na ya ziada ya kivita. miongoni mwa mafunzo mayo ni jinsi ya kupata intelijensia kuhusu adui,mbinu za kumdhoofisha, jinsi ya kujihami kwa silaha na bola silaha nk. Na watu hao ktk vita vya kisasa vya kisayansi na teknojia, ndio hutumika ktk kufanya 'electronic target marking' kwenye maeneo nyeti ya adui, yanayopaswa kushambuliwa na 'guided missiles' mizinga ya Masada marefu ama ndege za kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…