Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.

Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa.
=========================
Israeli media report that both Arrow-3 and US-supplied THAAD systems failed to intercept a Houthi missile.

Despite ongoing, intensive airstrikes, Houthis' missile and drone capabilities appear to remain largely unaffected.

View: https://x.com/currentreport1/status/1918920485032874424?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kombora la Yemeni lilivuka safu nne za ulinzi wa anga na kuanguka katikati mwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.

- Hofu nchini Israel kwamba mashirika ya ndege ya kimataifa yataamua kusitisha safari zao za ndege kutokana na kulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
 
Na inasemekana yametumika hypersonic missiles.
 
Marekani ilipofanya mashambulizi kwenye bandari ya mafuta ya Yemeni wakadhani kuwa watawapunguza nguvu.
Badala yake raia wa Yemeni wakaomba kisasi.
Marekani na Israel kwa Yemen watapata sana tabu kwasababu raia wa Yemeni wanaisapoti Houthi kwa kila hali.
 
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.

Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa.
=========================
Israeli media report that both Arrow-3 and US-supplied THAAD systems failed to intercept a Houthi missile.

Despite ongoing, intensive airstrikes, Houthis' missile and drone capabilities appear to remain largely unaffected.

View: https://x.com/currentreport1/status/1918920485032874424?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wanasema maswali ni mengi ya kujiuliza kwanini kombora hilo limetua ndani ya uwanja wa ndege na kuleta uharibifu mkubwa bila hata ving'ora kutuo ishara yoyote ile
Allahu Akbar
 
Kombora la Yemeni lilivuka safu nne za ulinzi wa anga na kuanguka katikati mwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.

- Hofu nchini Israel kwamba mashirika ya ndege ya kimataifa yataamua kusitisha safari zao za ndege kutokana na kulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
Jiangalie Mkuu! Baadaye usije kulialia.... Oooh.. Mazayuni wanatuonea uma wa mtume.
Endelea kujibinua na kibwebwe chako.
 
Ngoja zamu yenu na nyie... aanzae mmalize
Uss truman inarudishwa marekani baada ya kudundwa juzi na kupoteza ndege vita, yaani kombora la houthi lilivuka layers za ulinzi za uss truman,leo houthi wametwanga ben gurion airport,hakuna iron dome, arrow wala thaad, kuanzia sasa yatakuja mengi yaso kifani,hao ndiyo wala mirungi, houthi
 
Back
Top Bottom