Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Netanyahu keshashindwa naarudi yeye basi kama ataweza
Subiri mapigo saba mshaambiwa...Mbona kiupole unaripoti kutoka wapi Kwiba?
Eti enh.. Sisi huwa tunatizama mkianza tokwa machoziUss truman inarudishwa marekani baada ya kudundwa juzi na kupoteza ndege vita, yaani kombora la houthi lilivuka layers za ulinzi za uss truman,leo houthi wametwanga ben gurion airport,hakuna iron dome, arrow wala thaad, kuanzia sasa yatakuja mengi yaso kifani,hao ndiyo wala mirungi, houthi
Sijaona hiyo news naomba link ya uhakika plz sio za waongo wa kiislam Al Taqiyya dot comUss truman inarudishwa marekani baada ya kudundwa juzi na kupoteza ndege vita, yaani kombora la houthi lilivuka layers za ulinzi za uss truman,leo houthi wametwanga ben gurion airport,hakuna iron dome, arrow wala thaad, kuanzia sasa yatakuja mengi yaso kifani,hao ndiyo wala mirungi, houthi
Wameshafanya sana tu huko nyuma.Subiri mapigo saba mshaambiwa...
Minister Israel Katz said, "Whoever harms us will be struck sevenfold in return."
Kelele tokea 2012 karibu miaka 13 tunasikia Nyau ataipiga Nuclear ya Iran au umesahau nikukumbusheSubiri mapigo saba mshaambiwa...
Minister Israel Katz said, "Whoever harms us will be struck sevenfold in return."
Afu usisahau wanaficha sana wanavyo sambaratishwa na Yemen.Kombora la Yemeni lilivuka safu nne za ulinzi wa anga na kuanguka katikati mwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
- Hofu nchini Israel kwamba mashirika ya ndege ya kimataifa yataamua kusitisha safari zao za ndege kutokana na kulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
Hawa waarabu na wenyewe waache ujinga..Kombora la Yemeni lilivuka safu nne za ulinzi wa anga na kuanguka katikati mwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
- Hofu nchini Israel kwamba mashirika ya ndege ya kimataifa yataamua kusitisha safari zao za ndege kutokana na kulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
Link ya uhakika ni ipi?..hujui kama marekani kapoteza ndege toka uss truman baada ya manuva ya kukwepa kombora la houthi!?..hegseth kaipa uss truman wiki moja zaidi irudi nyumbaniSijaona hiyo news naomba link ya uhakika plz sio za waongo wa kiislam Al Taqiyya dot com
Kitu kimechimba mita 25 chini,*****,hapapitikiEti enh.. Sisi huwa tunatizama mkianza tokwa machozi
Upo Uyole unawapangia cha kufanya😅Hawa waarabu na wenyewe waache ujinga..
Kujisifu missile linapenya anga ya Israel si la kuangalia tena, kama wana uwezo huo waanze kupiga sehemu zenye umuhimu zaidi ili wawaforce Israel waache kupiga Palestine na kuua watoto..
Israel wakishambulia Palestine unasikia watu 300 muda huo huo wamepoteza maisha, huku arabs wanajisifu kombora limepenya air defenses za Israel, huu naita ni ujinga, na hapo bado unajiita unatetea Palestinians...
Ok, kombora linapiga airport, linapiga running way, wanajenga running way na maisha yanaendelea mnabaki kujisifu mmepiga airport, Gaza bado wanakufa.
Hapo inabidi yakipigwa makazi na wao wapige makazi, wakipiga hiki na hawa wapige hiki, hii ni njia pekee ya kumfanya Israel aache mara moja mauaji Gaza.
Hawa waarabu na wenyewe waache ujinga..