Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Na anasema naandika uharo...

Huu ujinga wa kushangalia kombora linapenya anga umepitwa na wakati, Kama wameamua kuisaidia Palestina ya Gaza wapeleke moto iwe salamu, Tel Aviv watu wasitoke ndani masaa 24 ni ving'ora, piga super market, piga sokoni, piga hospitali, tandika shule, teremsha vinu kama mvua halafu unawaambia tuendelee?

Wanakuambia baba inatosha tukae mezani, sasa huu ujinga kila siku mnapiga gari, barabara wao wameua more than 50K, vitoto vidogo vingine vimepatwa na mshtuko akili zimeruka..

Juzi hapa wameaua watu 300.. si ujinga huu..
Hapa jf wengi ni wajinga tu wa udini basi, hawaangalii fact.
Walishangilia iran alivyorusha makombora 200, lakini hawajiulizi hayo makombora yaliwasaidia Pale Gaza?

Wanashindwa ku act kwa pamoja, wanategeana. Hezbolla walipowasaidia Hamas wengine wote mpaka iran wakanyamaza wanaangalia kwanza. Why wasiweke pressure kubwa wote kwa pamoja??
 
Iran kama sasa ina tech kubwa kama hizo za drone na hypersonic missiles, wanashindwa nini kuitumia Yemen kuleta amani hapo ME? najua hadi sasa aliye nyuma ya Houthis ni Iran hasa hizo missiles, kuna wataalamu wa Iran wanaopanga hayo mashambulizi na kutoa huo utaalamu, lakini ni katika kiwango kidogo ambacho hakuna impact yeyote.

Hapo wameua wafanya kazi, wao wakipiga wanapiga iron dome , gari na ndege...

Inapaswa ifikie kipindi US aogope kwenda kuishambulia Yemen..

Hata kiduku aliwaweza kihivyo hakuna kucheka na nyani.
Iran mwenyewe mkuu ana makabiliano mengi ya kuiimarisha serikali yake.
Iran ni nchi inayojitahidi ila haijajitosheleza fully kama China au Russia mkuu hususan kiuchumi.
Nadhani washirika wa Iran walipofeli ni kwenye Air defense system.
Kama Iran angeweza kusaidia washirika wake ADS basi mashambulizi ya anga yasingekua yanawakuta.

North Korea inalelewa na China pamoja na Russia.
Hiyo imetosha kumkomesha USA.
 
Hapa jf wengi ni wajinga tu wa udini basi, hawaangalii fact.
Walishangilia iran alivyorusha makombora 200, lakini hawajiulizi hayo makombora yaliwasaidia Pale Gaza?

Wanashindwa ku act kwa pamoja, wanategeana. Hezbolla walipowasaidia Hamas wengine wote mpaka iran wakanyamaza wanaangalia kwanza. Why wasiweke pressure kubwa wote kwa pamoja??
Mkuu unapoitaja Hezbollah basi unaitaja Iran kaka.
Mashambulizi yote ya Hizbollah anaye facilitate ni Iran mkuu.
Sema kinachowaangusha hawa jamaa hawana umoja kabisa.
 
Mkuu unapoitaja Hezbollah basi unaitaja Iran kaka.
Mashambulizi yote ya Hizbollah anaye facilitate ni Iran mkuu.
Sema kinachowaangusha hawa jamaa hawana umoja kabisa.
Nafahamu.
Namaanisha ifike wakati wasijifiche, wakiwawezesha hezbolla na wao wanaingia uwanjani. Mfano, ule moto walioanza nao hezbolla, kama iran nae angeshambulia unazani vita mpaka leo ingekuwepo?

Au angeamua kurusha hata makombora matano kila siku huku akisisitiza ataendelea vita isiposimama pale Gaza unafikiri hali ingekuwaje.
 
Hapa jf wengi ni wajinga tu wa udini basi, hawaangalii fact.
Walishangilia iran alivyorusha makombora 200, lakini hawajiulizi hayo makombora yaliwasaidia Pale Gaza?

Wanashindwa ku act kwa pamoja, wanategeana. Hezbolla walipowasaidia Hamas wengine wote mpaka iran wakanyamaza wanaangalia kwanza. Why wasiweke pressure kubwa wote kwa pamoja??
Hoja ya msingi sana, pale Hezbollah alipoingia ndio muda Israel ingepigwa mtu kati, huku Yemen, hapa baba yao Iran, huku kwingine Hamas, ni mvua zinateremka Tel aviv kutoka Yemen, huku Hezbollah wanateremsha drones za kufa mtu na askari kusini mwa Lebanon wapo ground...

Huku Hamas waki deal nao Gaza...

Iran na yeye muda huo anarusha vyuma kama alivyosema kulipiza kisasi , Israel ingewehuka..

Na sio kupiga hovyo, wanapiga mahala sensitive...

Kwa hivyo nguvu ya Israel ingeyawanyika na kuwa less effective.. na ingekuwa muda sahihi vile vikundi vilivyopo Syria vinavyo support Hamas na wao kusogea kuongeza nguvu.

Kwa namna hii Israel ingeomba mazungumzo na amani ikapatikana maisha yakaendelea na heshima ikawepo.

Sasa unajisifu umepiga THAAD, Arrow, Iron Dome.. hizo ni tools kama panga, shoka ama bastola, wenzako wanakufa we unajisifu umeharibu tools... ndugu yako kauawa na muuaji unachukua panga la alimkata ndugu yako unaliharibu halafu unajisifu..

Ni ujinga na Iran naanza kuwaona na wao wajinga tu..
 
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.

Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa.
=========================
Israeli media report that both Arrow-3 and US-supplied THAAD systems failed to intercept a Houthi missile.

Despite ongoing, intensive airstrikes, Houthis' missile and drone capabilities appear to remain largely unaffected.

View: https://x.com/currentreport1/status/1918920485032874424?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nafahamu.
Namaanisha ifike wakati wasijifiche, wakiwawezesha hezbolla na wao wanaingia uwanjani. Mfano, ule moto walioanza nao hezbolla, kama iran nae angeshambulia unazani vita mpaka leo ingekuwepo?

Au angeamua kurusha hata makombora matano kila siku huku akisisitiza ataendelea vita isiposimama pale Gaza unafikiri hali ingekuwaje.
Kaka Iran ana makabiliano mengi asingeweza hilo kwa wakati ule.
Hapo alipopafanya anastahili pongezi kuliko hata waliokaa nyuma.
 
Iran mwenyewe mkuu ana makabiliano mengi ya kuiimarisha serikali yake.
Iran ni nchi inayojitahidi ila haijajitosheleza fully kama China au Russia mkuu hususan kiuchumi.
Nadhani washirika wa Iran walipofeli ni kwenye Air defense system.
Kama Iran angeweza kusaidia washirika wake ADS basi mashambulizi ya anga yasingekua yanawakuta.

North Korea inalelewa na China pamoja na Russia.
Hiyo imetosha kumkomesha USA.
Sio inalelewa tu NK, pia walijipanga wao kama wao, Syria chini ya Assad alikuwa mshirika wa Russia lakini nchi imepinduliwa na waasi.. Assad kakimbia..

North Korea kajipanga kwanza, yupo vizuri na kwa kiburi kapeleka jeshi Russia, hebu fikiria hio jeuri..
Wakati mwingine heshima inabidi kuipata kwa nguvu..
 
Naamini unajua bajeti ya supersonic missile 1, je ina impact gani kuighalamikia halafu unawapa watu wakapige vichaka au running way?
Hata mi nashangaa..
Haina impact yeyote, hio pesa ni bora wagawe kama msaada..
 
N. K Nuclear imewaokoa sana.
Wasingekuwa nazo wangepigwa zengwe.
Sometimes US na Russia wanakaa meza moja kulingana na maslahi.
Hakuna adui wa kudumu kwao, wanaagalia wanapata nini.
Ndio, vyovyote vile lakini uheshimike..
Iran nao naona hio kuwatetea Palestine ni mdomoni ila vitendo na mipango ni zero..
 
Sio inalelewa tu NK, pia walijipanga wao kama wao, Syria chini ya Assad alikuwa mshirika wa Russia lakini nchi imepinduliwa na waasi.. Assad kakimbia..

North Korea kajipanga kwanza, yupo vizuri na kwa kiburi kapeleka jeshi Russia, hebu fikiria hio jeuri..
Wakati mwingine heshima inabidi kuipata kwa nguvu..
Syria na NK zilikua zina situation tofauti mkuu.
Syria ilikua nchi ambayo imeshaoza kwa ndani hakuna muunganiko kabisa mvunjiko wa kikabila na kimadhehebu ya dini unatarajia ingesimama imara!?
NK ilikua na unification tokea ndani.
 
Erdogan kila siku anatoa matamko tu kule X but nothing.
Sasa na yeye kama anali eti Gaza wanakufa kwa njaa, ila daah 😁
 
Back
Top Bottom