Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Mashirika 13 ya ndege ya kimataifa yalisitisha safari za ndege kuelekea Israel baada ya Yemen kugonga eneo karibu na uwanja wa ndege wa Tel Aviv.

Safi sana😅
Huku wenyewe wameua watu elfu hamsini na zaidi, huku wanajisifu mashirika ya ndege 13 yasitisha safari..

Haisaidii chochote, Iran katuma mamia ya makombora je imesaidia Israel kuacha kuua Gaza?

Nitazidi kusema the only way Israel kuacha kuishambulia Palestine ni pamoja na waarabu kuishambulia Israel vile vile wanavyofanya Gaza...
 
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.

Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa.
=========================
Israeli media report that both Arrow-3 and US-supplied THAAD systems failed to intercept a Houthi missile.

Despite ongoing, intensive airstrikes, Houthis' missile and drone capabilities appear to remain largely unaffected.

View: https://x.com/currentreport1/status/1918920485032874424?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Katika Uislamu Pwani uongo una maslahi ni Sunna ya Mtume S.A.W
 
Kaka hizo video nishaziona sana hazinisaidii mimi chochote zaidi ya kupeana matumaini wakati tayari cancer ni stage 4, hizo video hazinisaidii chochote..
Kwani huu uharo unaondika humu unasaidia nini😅
 
Jiangalie Mkuu! Baadaye usije kulialia.... Oooh.. Mazayuni wanatuonea uma wa mtume.
Endelea kujibinua na kibwebwe chako.
Aisee unatizama taarifa ya habari za kimataifa!?
Ungeona mashambulizi matatu aliyofanya Marekani pale Yemeni aisee ingekua ni taifa lengine ungesema hawatathubutu kuinua hata kidole.
Mfano wa shambulio la kwanza bandari ya mafuta ilipigwa pale Yemeni wafanyakazi zaidi ya 85+ wote walikufa na majeruhi 25 na mahututi zaidi ya 100.
Lile shambulio lilitosha kusema kuwa Yemeni Houthi hawatafanya chokochoko tena.
Ile eeh hehehehe raia wameandamana wakiwaambia Houthi wanataka kisasi.
Yemeni sio Gaza nchi ngumu sana Ile.
 
Kama msemaji wa wasiowapenda Waislamu wasojitambua.
Nikiri kuwa kweli limetua umbali wa 75m kutoka ilipo T3.
Israel yaapa kumaliza huo mzozo
 
Pia kuna jambo nimeligundua pindi Yemeni iliposhambuliwa na US airstrike.
Yemeni wanarudi kiuchumi aisee maana facility nilizoziona zikitoa msaada na vile vituo vyao vya afya ni international standards.
Nahisi hata USA alimlipua kimakusudi kumrudisha nyuma kiuchumi.
 
Kwani huu uharo unaondika humu unasaidia nini😅
Muda wa kujisifu kufanikiwa kurusha makombora na kupenya anga la mzayuni is over, kama wameweza hilo wafanye kweli, sio kila leo wamerusha kombora limepiga nyumba, kesho airport, keshokutwa wamelenga misitu...

Wapige Tel Aviv hapo hapo vinu vya maana vishuke, kwa namna hii watasimama vita, 2006 ilikuwa hivyo...
 
Kama athari Israel inapata ila inaficha.
Ila hawa mahasimu hawawezi kufanya simultaneously strikes kwa Israel kwasababu ya watu waliopo nyuma ya Israel.
Uliona walichofanywa Yemeni wiki iliyopita kaka!?
 
Kuna watu hawapendi kusikia ukweli, wao wanashangilia tu.
Umeandika kwa kumsapoti mtoa mada ila kutokana na mahaba amekuona mpinzani tu.
 
Kuna watu hawapendi kusikia ukweli, wao wanashangilia tu.
Umeandika kwa kumsapoti mtoa mada ila kutokana na mahaba amekuona mpinzani tu.
Na anasema naandika uharo...

Huu ujinga wa kushangalia kombora linapenya anga umepitwa na wakati, Kama wameamua kuisaidia Palestina ya Gaza wapeleke moto iwe salamu, Tel Aviv watu wasitoke ndani masaa 24 ni ving'ora, piga super market, piga sokoni, piga hospitali, tandika shule, teremsha vinu kama mvua halafu unawaambia tuendelee?

Wanakuambia baba inatosha tukae mezani, sasa huu ujinga kila siku mnapiga gari, barabara wao wameua more than 50K, vitoto vidogo vingine vimepatwa na mshtuko akili zimeruka..

Juzi hapa wameaua watu 300.. si ujinga huu..
 
Kama athari Israel inapata ila inaficha.
Ila hawa mahasimu hawawezi kufanya simultaneously strikes kwa Israel kwasababu ya watu waliopo nyuma ya Israel.
Uliona walichofanywa Yemeni wiki iliyopita kaka!?
Sikuona walifanya nini?
 
Yemeni ilipigwa shambulio baya sana la anga na Marekani.
Lile shambulio liliwarudisha nyuma Yemeni hadi kiuchumi maana walipiga sehemu muhimu ya kuchakata na kuhifadhi mafuta na hakuna mfanyakazi Wala kifaa kilichopona .
Iran kama sasa ina tech kubwa kama hizo za drone na hypersonic missiles, wanashindwa nini kuitumia Yemen kuleta amani hapo ME? najua hadi sasa aliye nyuma ya Houthis ni Iran hasa hizo missiles, kuna wataalamu wa Iran wanaopanga hayo mashambulizi na kutoa huo utaalamu, lakini ni katika kiwango kidogo ambacho hakuna impact yeyote.

Hapo wameua wafanya kazi, wao wakipiga wanapiga iron dome , gari na ndege...

Inapaswa ifikie kipindi US aogope kwenda kuishambulia Yemen..

Hata kiduku aliwaweza kihivyo hakuna kucheka na nyani.
 
Back
Top Bottom