Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

Una uhakika kuwa hayaleti madhara hata mara Moja mkuu!??
Tuongee kuhusu leo mkuu. Wamepiga karibu na airport, Israeli wamepiga na kuua 16 Gaza. Nani kafaidika na shambulio lake?
 
Kombora la Yemeni lilivuka safu nne za ulinzi wa anga na kuanguka katikati mwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.

- Hofu nchini Israel kwamba mashirika ya ndege ya kimataifa yataamua kusitisha safari zao za ndege kutokana na kulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion.
Wewe KIBWENGO acha ujinga wa kudanganya watu kuwa kombola limeangukia katikati ya uwanja wakati limeangukia nje ya uwanja.

Angalia picha hizo hapo chini siyo katikati ya uwanja
 

Attachments

  • IMG_2726.jpeg
    IMG_2726.jpeg
    270.9 KB · Views: 19
  • telegram-cloud-document-4-5816524920204564256.mp4
    1 MB
  • WhatsApp Video 2025-05-04 at 10.46.47.mp4
    6.3 MB
  • IMG_2727.jpeg
    IMG_2727.jpeg
    215 KB · Views: 18
Trump na kauli zake Yemen sijui kuzimu hamna tena 😅
 
Wewe KIBWENGO acha ujinga wa kudanganya watu kuwa kombola limeangukia katikati ya uwanja wakati limeangukia nje ya uwanja.

Angalia picha hizo hapo chini siyo katikati ya uwanja
We jamaaaa kitu kimetua kwenye lami ya kurukia ndege udongo wake ndio umeruka kwa umbali adi kwenye iyo barabara Dude kubwa limelima kabisa kama Eka 2 wapande maindi tu. Waachane na vita IRAN itawanyolosha zaid.. awatoweza kujibishana na IRAN.
 
Sasa ngoja Tusubiri tuone namna Wavaa Kobasi watakavosindikizwa kwa mafungu ahera wakakutane na mabikira
 
We jamaaaa kitu kimetua kwenye lami ya kurukia ndege udongo wake ndio umeruka kwa umbali adi kwenye iyo barabara Dude kubwa limelima kabisa kama Eka 2 wapande maindi tu. Waachane na vita IRAN itawanyolosha zaid.. awatoweza kujibishana na IRAN.
Kwa hiyo wewe unabishana na picha/video? Kama utaweza weka hapa video/picha k
Kuonyesha kwenye lami!!
 
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.

Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa.
=========================
Israeli media report that both Arrow-3 and US-supplied THAAD systems failed to intercept a Houthi missile.

Despite ongoing, intensive airstrikes, Houthis' missile and drone capabilities appear to remain largely unaffected.

View: https://x.com/currentreport1/status/1918920485032874424?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Dwfense minister wa israel anasema anayewapiga atapigwa mara 7 zaid hapo wanajipanga kuona mistake iliyofanyika kwa nn drones zao hazijaweza kuzuia vzur shambulizi kwa hyo wakilipiza hapa itakuwa balaa
 
Back
Top Bottom