Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

ISRAEL fujo zake zoteee nyuma yupo Marekani kwasasa Yemen inapiga pande zote mbili yani ISRAEL na MAREKANI kwa pamoja. Yajayo sio rafiki kwa Israel Watakimbia ardhi ya Wapalestine,,
 
Huyu jamaa anatia kinyaa na uislam wake... kazi kuvaa madera tu.......sasa hilo kombola limereta kitu gani?? Maana naona limechimbua mchanga tu pale...
 
Najua hamjui kama hamjui ,lile ni bomu la kutegwa na wenyewe wayahudi ili wapate nafasi ya kuendeleza vita kwa maslahi ya netanyau na zaidi kuisingizia Iran na hapo kupata sababu ya kumingiza Pope wa kiMarekani mazima.
Technical ni mipango ya kimahesabu ,kama utaiangalia sehemu iliyolipuka au inayosemwa imepigwa na kombora kutoka yemeni, ichenguze vizuri sana ,sehemu inayopigwa na kombora huwaga inaslope ya muingilio wa kombora,ila ile ni mita 25 kwenda chini na mchimbuko upo kwenye diameter iliyosawa.

Timing ya kulipuwa ni kusubiri wayemeni watakaporusha kombora na kuhakikisha kuwa wamerusha hivyo mahesabu ya kuingia kombora hilo katika anga za uyahudi zikiwa zinafuatiliwa kimahesabu ndipo lile bomu (explosive)la kutegwa likafyetuliwa ,Yemeni wakiona ni wao na mMyahudi akitangazia kombora kutoka Yemeni ,baada ya lisaa akatangaza ataipiga Yemeni mara zaidi ya saba ya nguvu za kombora alilolipiga myemeni, hapo hhapo akikazia kuipiga Irani kwa kuwa ndie aliyeipatia Yemeni kombora hilo.

Nikiwasaidia kadika eneo hakukuwepo pipe linalobeba kombora hata kama kilichotua hapo ni kichwa kwa aina ya kombora la speed ya sauti ambalo hugawanyika na kuacha kichwa pekee kiendelee na safari,kilionyeshwa kipande kimoja tena kidogo sana.
Tumieni akili kidogo msivamie.
 
Limeumiza watu nane na ufahamu kuwa watangazaji ni waathirka usifikirie watatangaza wamekufa mia au hata mmoha wao siku zote kwao hafi mtu.
 
Houthis ni very committed aisee.... But ndio hivyo bado hawako sawa kwa baadhi ya mambo kijeshi
 
Wanaukumbi.

Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi.

Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa.
=========================
Israeli media report that both Arrow-3 and US-supplied THAAD systems failed to intercept a Houthi missile.

Despite ongoing, intensive airstrikes, Houthis' missile and drone capabilities appear to remain largely unaffected.

View: https://x.com/currentreport1/status/1918920485032874424?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Watakwambia wao Wana kitambo sijui vidaka makombora yaani ni ujinga ujinga 😂😁

Wa Houth hawakopeshi wale sio Hamas.

My Take
Na nyie TEC mnaochochea fukuto za kidini Tanzania mkome mara Moja,kw jinsi nawajua Waislamu hawajawahi kubali kuwa wanyonge msije tuletea balaa kisa mtu wenu mhalifu huyo Lisu.
 
ISRAEL fujo zake zoteee nyuma yupo Marekani kwasasa Yemen inapiga pande zote mbili yani ISRAEL na MAREKANI kwa pamoja. Yajayo sio rafiki kwa Israel Watakimbia ardhi ya Wapalestine,,
Ndoto za mwendawazimu hizo
 
Najua hamjui kama hamjui ,lile ni bomu la kutegwa na wenyewe wayahudi ili wapate nafasi ya kuendeleza vita kwa maslahi ya netanyau na zaidi kuisingizia Iran na hapo kupata sababu ya kumingiza Pope wa kiMarekani mazima.
Technical ni mipango ya kimahesabu ,kama utaiangalia sehemu iliyolipuka au inayosemwa imepigwa na kombora kutoka yemeni, ichenguze vizuri sana ,sehemu inayopigwa na kombora huwaga inaslope ya muingilio wa kombora,ila ile ni mita 25 kwenda chini na mchimbuko upo kwenye diameter iliyosawa.

Timing ya kulipuwa ni kusubiri wayemeni watakaporusha kombora na kuhakikisha kuwa wamerusha hivyo mahesabu ya kuingia kombora hilo katika anga za uyahudi zikiwa zinafuatiliwa kimahesabu ndipo lile bomu (explosive)la kutegwa likafyetuliwa ,Yemeni wakiona ni wao na mMyahudi akitangazia kombora kutoka Yemeni ,baada ya lisaa akatangaza ataipiga Yemeni mara zaidi ya saba ya nguvu za kombora alilolipiga myemeni, hapo hhapo akikazia kuipiga Irani kwa kuwa ndie aliyeipatia Yemeni kombora hilo.

Nikiwasaidia kadika eneo hakukuwepo pipe linalobeba kombora hata kama kilichotua hapo ni kichwa kwa aina ya kombora la speed ya sauti ambalo hugawanyika na kuacha kichwa pekee kiendelee na safari,kilionyeshwa kipande kimoja tena kidogo sana.
Tumieni akili kidogo msivamie.
Usitufanye sisi ni mapunguani kijana.
Bomu la kutegwa toka lini likaangusha debris ama mabaki ya vyuma kutoka angani??
Bomu la kutegwa ardhini toka lini likalipua kwa kishindo kikubwa!?
Embu muachage ujuaji na upopoma basi.
 
Back
Top Bottom