Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

Iron dome aifanyi interception ya kila kombora. Inapima mahali linapoelekea kulingana na diamter iliyosetiwa ndio inaamua ifanye interception au la. So sio kila kombora linalofanikiwa kutua chini iron dome haijaliona. Baadae msiseme Israel inaua wamama na watoto 😆😆😆
Kilio cha wanawake na watoto ndo wimbo unaofata
 
Makombora yote hayo asife mtu, acha utoto basi!
 
US na mabeberu hiki ndio walichokuwa wanasubiri zaidi ya miaka 40, Iran kajiingiza kwenye mdomo wa mamba lazima wammalize this time, 2024 mwisho wa Ayatollah
 
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.

Hii imefanywa maksudi kupata kisingizio cha kujibu kwa nguvu zaidi bila huruma za cease fire ?
View attachment 3112525
Wacha kujitekenya na kucheka mwenyewe Israel awachie usalama wa nchi wake uonekane duniani ni dhaifu kama mayai. Ukweli hizo Missiles alizo tumia Iran kwanza sio zakuweza kuzuilika walibahatika kuangusha 10% nchi hizi tatu US, Jordan na wao Israel kibahati bahati sababu zilikuwa nyingi kama mvua.

Israel kambiwa na Iran hio ni kidogo sana kwa Iran, akijidai kurudisha kipigo basi Iran watatumia Missiles walizo nazo ni more dangerous na zina very high explosive kuliko hizo. Kapewa options achague atulizane au asubirie kipigo kikubwa kuliko hicho labda mara 10 au zaidi.
 
Acha uongo, kuna baadhi ya missiles zimepenya ila nyingi zimezuiliwa, hii asilimia 10 ni ya kwako. Ayyatolah yupo kwenye mashimo kwa sababu anajua majibu yanakuja muda si mrefu.
 
Uzuri round hii video zimeonesha zikitua hayo mengine ni nyie muamue kuficha au kusema mlipo umia
 
Iron dome aifanyi interception ya kila kombora. Inapima mahali linapoelekea kulingana na diamter iliyosetiwa ndio inaamua ifanye interception au la. So sio kila kombora linalofanikiwa kutua chini iron dome haijaliona. Baadae msiseme Israel inaua wamama na watoto 😆😆😆
Mtaalamu wa mabomu Tanzania..
 
Hukuona air defence systems zikipangua baadhi yake? uzuri mtu unaweza kuchagua cha kuangalia.
Unaposema nyingi zimezuiliwa sijui umeona wapi wakati nyingi zimepenya weka video hapa inayo onesha kama nyingi zimezuiliwa nikuekee video hapa nikuoneshe nyingi zilizoepenya
Kifupi round hii kipigo hakijajificha
 
US na mabeberu hiki ndio walichokuwa wanasubiri zaidi ya miaka 40, Iran kajiingiza kwenye mdomo wa mamba lazima wammalize this time, 2024 mwisho wa Ayatollah
Nanyi mna udini sana na mkipenda mnapenda hata visivyopendeka. Eyi sasa hivi Mabeberu wote wanalaani shambulizi la Iran! Ooh dhidi ya raia, oh amejitafutia balaa. Hamjui hesabu zimeshapigwa hapo, Israel mnamkuza tu, hana nguvu yoyote, lazima asaidiwe na Marekani na wengine, lazima apewe fedha kupitia Congress na EU. muulizeni mpaka sasa ameua Hamas wangapi? Eti ana target viongozi ambao wana ofisi na wanajulikana walipo. lakini tunajua Israel ameshaua raia 41,000.
Iran kufanya shambulizi ni kwa sababu amechokozwa, Ameshambuliwa nyumbani kwake na kuuliwa kiongozi wa Hamas, na nyinyi mlishangilia. Israel ameshambulia Lebanon na anaendelea, yeye ndiye aliyevitawanya hivi vita. Tusubiri tuone
 
Hakuna kuingia kwenye mfumo wala nn, kwani Iran ndo mara yake ya kwanza kurusha makombora kwa Israel au unajitoa ufahamu?
Wanajisahaulisha. Marekani hatokubali kuingia vita hii, hatokubali Mashariki ya kati iwe na vya nchi nyingi mana interest zake zitavurugwa. Israel bila msaada wa Marekani ni bure kabisa. Wafia dini wamepanic. Israel amechokoza Iran, ameingia anga yake na kushambulia pigo lilomuua kiongozi wa Hamas. Leo tena kaingia kuipiga Lebanon, lazima Iran ichukue hatua
 
Msidanganywe muirani ndio baba wa technology maeneo mengi tu ata Russia mnajua anachukua viuma kutoka Iranian so kama mnadhani Israel atajib oh uingeleza au USA hasaa mtasubili Sanaa muirani anaogopwa weka hii kumbukumbu awatorusha jiwe kutoka nnje y irani labda watumie ugaid. Muiran anaweza kuchakaza wote kwapamoja.
 
Hakuna kuingia kwenye mfumo wala nn, kwani Iran ndo mara yake ya kwanza kurusha makombora kwa Israel au unajitoa ufahamu?
Tulia wewe acha kulialia myahudi anakuja kupiga kwenye mshonoo myahudi kadhindikana taja kiongozi wa Israel aliyouliwa Jana kwenye hivyo vibaruti
 
Msidanganywe muirani ndio baba wa technology maeneo mengi tu ata Russia mnajua anachukua viuma kutoka Iranian so kama mnadhani Israel atajib oh uingeleza au USA hasaa mtasubili Sanaa muirani anaogopwa weka hii kumbukumbu awatorusha jiwe kutoka nnje y irani labda watumie ugaid. Muiran anaweza kuchakaza wote kwapamoja.
Hii sio taarabu ni vita naona unachamba kabisa kwamba inakuuma au taja kiongozi wa Israel aliyouliwa Jana kwenye hivyo vibaruti🤣🤣🤣🤣🤣 🤣
 
Back
Top Bottom