Wacha kujitekenya na kucheka mwenyewe Israel awachie usalama wa nchi wake uonekane duniani ni dhaifu kama mayai. Ukweli hizo Missiles alizo tumia Iran kwanza sio zakuweza kuzuilika walibahatika kuangusha 10% nchi hizi tatu US, Jordan na wao Israel kibahati bahati sababu zilikuwa nyingi kama mvua.
Israel kambiwa na Iran hio ni kidogo sana kwa Iran, akijidai kurudisha kipigo basi Iran watatumia Missiles walizo nazo ni more dangerous na zina very high explosive kuliko hizo. Kapewa options achague atulizane au asubirie kipigo kikubwa kuliko hicho labda mara 10 au zaidi.