kwahiyo Ukraine anaemkabili Urusi ni taifa kubwa kuliko yote dunian?Lazima watafute mlango wa kutokea! Kukabiliana na Urusi ana kwa ana siyo habari ndogo!! Wataishia kulaani tu na kutoa onyo na vitisho basi! Urusi siyo Iraq!!
Hapo mwanzo nilitaka kukuelewa lakini hapo mwishoni nikaona kumbe na wewe wale wale tu waimba mapambio wa Russia.Poland ni mnyonge kwa Russia? Unawajua vizuri Poland au unawasikia tu.Watu wanasema et kutakuwa na vita ya dunia, aisee hakuna nchi inayotaka vita ipigwe kwenye ardhi yao hvy ishu ya vita ya dunia tusahau, wanyonge wataendelea kula kipigo kutoka Russia
Halafu pana mtu anasema Poland ni wanyonge kwa Russia,mbona sasa Russia anajihami kwa kukana.Kama yeye ni mbabe kweli akae kimya asuburie kuona watajibu nini Poland lakini kukimbilia kukana maana yake anaujua mziki utakaokuja na hawezi kuucheza.Russia kupitia Peskov wamesema wao hawahusiki na hayo makombora
Nchi kadhaa zimeitisha vikao vya dharura...
Ngoja tuone hadi asbuhi nini kitatokea
Leo umeamua kuongea Kimagharibi kabisa
Nmewazungumzia wanyonge wa Russia. Yeyote ambaye ni mnyonge wa Russia atapewa kipigoHapo mwanzo nilitaka kukuelewa lakini hapo mwishoni nikaona kumbe na wewe wale wale tu waimba mapambio wa Russia.Poland ni mnyonge kwa Russia? Unawajua vizuri Poland au unawasikia tu.
Pro Putin akili zao wanazijua wao wenyewe tu,hawapishani na Anduje Putin wanaemshabikiaKwa hiyo kwa akili yako ulitaka kuona reaction yao muda huu tu,baada ya tukio kutokea?!!Wewe subiria nadhani sasa putin ameyakanyaga,sehemu walipokuwa wanapataka.Kwanza amesha jichokea ndio aanze tena kupambana na wazee wa kazi mbona balaaa!!
Halafu watakapojibiwa wote waliopo hapa watakimbia na kutelekeza mada zao kama walivyokimbia Kherson ilivyokombolewa.Kwa lipi?najua warusi wa buza ,mko kwenye hali mbaya sana kwani mtaalam wa karate kawaangusha sana!! naona sasa ameanza kutafuta ugomvi mzito wakati huo mdogo umemshinda!!umemsikia waziri wa ulinzi wa Russia alichosema baada ya ya hilo kombora kutua POLAND?!!
Mkuu una kipaji kikubwa sana cha kupindisha manenoSiyo makombora ya Urusi hayo!! Makombora ya Urusi ni "high precision" yaani yana shabaha kubwa!! Hayakosi target!! Ukitaka kujua hilo uliza kinachoendelea leo huko ukraine!!
Kilichofanyika ni Ukraine kurusha makombora yake nchini Poland ili imsingizie Urusi!! Ukraine iumeelemewa, inalazimisha NATO waingie vitani!! Uzuri ni kwa,mba NATO wanajua janja hiyo ya Ukraine na wameamua kusema kuwa habari hiyo haijathibitishwa!
Jamaa wa ajabu sana yan wanalazimishia hisia zao,wanafikiri vita vinaendeshwa kimihemuko ,hii ishu huwezi kurupuka bila kufanya uchunguzi kubaini muhusika nani haswa.yan pro russia wengine akili zao madudu ya chooni.Pro rusia wenye utash wametulia ila hawa bangi wanataka waone NATO mda huu wakikiwasha.kombora limepiga sasa majibu unataka sasa hivi? ngoja kukuche mkuu.
kupanda mchongoma kushuka ndio ngoma
NATO Wakiingilia kwasababu Urusi amemgusa mshirika wao, watarudisha mapigo urusi. Urusi na washirika wake watajibu piaAcha uchochezi mkuu.vita ya tatu ya dunia waijua wewe?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wanachunguza ili wajue kama Urusi kahusika na hilo shambulizi. Kama Poland ni washari tutawapima kwa hili jaribio la sasaiviPoland ndio Nchi ya kwanza kuwa na chuki na Urusi wao walitaka kupeleka vifaa na wanajeshi Ukraine bila kuzunguka zunguka USA ndio aliwaambia acheni hizo mambo basi wakaamua kurudisha vile vifaa vya kivita vilivyotumika enzi za Sovieti huko hao Poland ni washari balaa hakuna kitu kama hicho wafanyiwe harafu usikie watakaa kimya...na Mrusi nae anajua kuwa hawa wahuni kichwani hawapo vizuri uzuri Nchi zote kule wanafahamiana na waliwahi pigana sasa shida huku hatuna hata historia yeyote kila siku ni mwendo wa kudhania...
Nakubaliana nawewe mkuu 100%Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa. Nafikiri kwa sasa NATO wanaweza kutoa onyo kwa Russia kuhusu kilichotokea.
Na endapo Russia itarudia tena kufanya ilichofanya, basi mfululizo wa makombora utakaoangushwa Russia utakuwa hauna idadi na utaishangaza na kuitisha Dunia.
Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.Halafu watakapojibiwa wote waliopo hapa watakimbia na kutelekeza mada zao kama walivyokimbia Kherson ilivyokombolewa.Wamejitokez leo wote gafla kama siafu baada ya yule Kamanda mwenye mishavu kama anapuliza moto alivyoanza kurusha rusha vikombola vyake ovyo bila mpangilio Kyiv.