1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Wewe ni mnufaika bila shaka,,View attachment 2985133
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Hapana hizo taasisi ni matapeli,kweli bashite ana ujinga mwingi,ila katika hili yupo sawa,Unajua riba ni ngapi? Au ulitaka deni la milioni tatu lililodhaminiwa na nyumba lilipweje?
Lengo la kuweka dhamana ni lengo la kuuza😳Kama umeweka dhamana ya nyumba, ulitarajia wauze nini?
Hata kama Hauna akili.View attachment 2985133
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimelipenda hilo neno, wanakula marejeshoArusha hakuna watu wa akili za hovyo kama nyie, jichange ujenge nyingine, hao wanunuzi ni bonafide purchasers under the Sale of Goods Act, kenge nyie, mnatamba mitandaoni na makonyagi na nyama choma kumbe mnakula marejesho
Bila huyo Jamaa kutimuliwa atavuruga Kila kitu kama role model wake.Sijui wanamng'ang'ania wa nini.View attachment 2985133
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?
Mnafiki mkubwa weweView attachment 2985167
Jamaa ni tapeli sana aka con man.
Hao hao wananchi anaojionesha kuwapigania anawajaza upepo alafu baadae anakimbilia Gran Melia Hotel kusikilizia na lile li landrover lake!
Kwa wasiomfahamu vizuri... Hakuna alichowahi kuanzisha kikafikia mwisho mzuri!
Wavivu, wazembe, incompetents kama wee ndio mnaomchukia PCM kama mlivyomchukia JPMBila huyo Jamaa kutimuliwa atavuruga Kila kitu kama role model wake.Sijui wanamng'ang'ania wa nini.
Wewe mjinga sana! Makonda anasaidia maskini waliokosa mtetezi.Bila huyo Jamaa kutimuliwa atavuruga Kila kitu kama role model wake.Sijui wanamng'ang'ania wa nini.
Nimekaa central ya dar kule shimoni wiki 2, nimekaa urafiki, Goba, Goigi, nyangwahwle, central ya dodoma n.k hvo kukaa ndani hunambii kitu naelewa sana......Ulisha kaa ndani ww ukikaa siku tatu tu akili inakaa sawa.Usiombe ukaenda huko acha kabiisa.
Maskini na Kushindwa kulipa Madeni wapi na wapi?Wewe mjinga sana! Makonda anasaidia maskini waliokosa mtetezi.
Wewe na utendaji wako serikalini unalamba asali kwenye miundo mbinu.ya Barabara. Unawasaidiaje wanyonge.
Ni kweli alimshinda Wema Sepetu na kipisi cha bangi.Mnafiki mkubwa wewe
Aliishinda vita ya Dawa za Kulevya.
Watu wakapata haki zao akiwa Mwenezi tu.
Wanaendelea kupata haki zao akiwa RC.
Dar ilikua Safi
Unakuja kuleta Mnduku wako hapa.
Kama hiyo nyumba ilikuwa ndio dhamana na aliiweka mwenyewe kwa nini isipigwe bei endapo hakutimiza masharti ya mkopo? Hivi sio kwamba wanachukua chao na balance anapewa mwenye mali? Kama ndio, basi bwana huyo ana milioni 47. Kwa nini hakuenda mahakamani?Hata kama ndio umuuzie nyumba kisa deni la millions 3........wakati nyumba yake ina thamani ya million 50...........usimuonee kwa kuwa kakopa... . Mbona wale watu waliokopa takribani bilioni 800 na wakaenda mpaka mahakamani na wakawashinda kesi mbona hamkuuza hata vijiko vyao vya chai ?? Huonevu huo
Maslahi ya Taifa ndio ya kudhulumu na kupora Haki ya wengine Kwa Kisingizio Cha maskini? Punguani.Mjinga Mmoja weee , Dunia imebadilika, tunaelekea kwenye mapinduzi ya Utaifa ambayo kila Kiongozi Makini lazima atangulize masilahi ya Raia wake kwanza.
Unaleta vichuki vya kitahira tahira Kwa Makonda ,
Mpumbavu Mmoja wee
Hao ndiyo wale Vijana wetu wanao amini kua gari ni utajiri na si kitendea kazi! Tuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mindset zao!!umeongea kitoto sana, yaani kama mtu wa miaka 15 usiye elewa maisha ni nini
sema umejaliwa kujua kusoma na kuandika ila akili ya kuchambua mambo naomba nikwambie hauna hata kidogo
Kama fedha ni zetu mbona tunakopa kwa riba kubwa?ukishindwa kulipa labda tu ya sababu za kiuchumi mali zako zinafilisiwaView attachment 2985133