Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Apewe ulinzi majambazi wastaafu sio ndio wanaishi Arusha!
 
Makonda alisema pia akiwa hapo ofisi ya mkoa (Arusha) akikupa huo ukuu wa mkoa kwa anavyowindwa utaurudisha kesho yake.
So his allegations shouldn't be taken lightly.
 
Kwa hiyo na yeye anaogopa kuwindwa pamoja na kuombewa kote kule?Atulie.Aache uoga.
 
🤣 🤣 🤣
 
Utawala huu hautaki mtu anaehoji upigaji wa fedha za umma!

Na hii ndio DNA ya chama changu iliomea na kukita mizizi ndani ya CCM!!

Ccm sio chama Tena Cha wakulima na wafanyakazi kama zamani Bali Cha wapiga dili na mafisadi!!

Anaetaka kuondoa Hali hiyo anatishiwa maisha coz hawataki asali izuiwe kutiririka!

Mungu kibariki chama changu CCM kiondoe ubadhirifu ndani ya chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…