fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Utafute ulinzi waukweliNikiwa kiongozi bongo nitafata nyayo za huyu jamaa, ila ntaongeza manjonjo zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafute ulinzi waukweliNikiwa kiongozi bongo nitafata nyayo za huyu jamaa, ila ntaongeza manjonjo zaidi.
Acha uongoLisemwalo lipo au laja.
Hata jiwe alikuwa anasema hivi hivi!
Acha uongo
Not this wayit is a very good sentiment to boost the mood of audience there na nnadhan ndio utamu wa siasa huo!Love it😋
Apewe ulinzi majambazi wastaafu sio ndio wanaishi Arusha!Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Bensanane ni binamu yanguKwenye familia yenu alikufa nani au umekopi riwaya za Hammie Rajabu kwenye gazeti la sani!
Chai ya tangawiziWatu8 imekuwaje unamuwinda muheshimiwa
Kwa hiyo na yeye anaogopa kuwindwa pamoja na kuombewa kote kule?Atulie.Aache uoga.Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Hata Tundu Lisu ataongezewa Ulinzi na Serikali 🐼Acheni kuuhadaa Umma.
🤣 🤣 🤣Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.