Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Acheni ujuaji usio tija ,kama hamjui taratibu za kukabudhiana nyumba za serikali ni jambo jema kuuliza,by the way unaushahidi gani kuwa hizo gharama za kulala hotel kwa comrade Makonda ni juu ya mlipa kodi,what if ni kwa pesa yake .?
Mtumishi wa Umma pesa zake kazitoa wapi??Pili ukae ukijua wafanyabiashara wenye pesa halali wako makini sana na matumizi ya pesa...
 
Ngoja tuone
 
Mafisadi wameshaanza akumpa ofa
 
Uchochezi ,ungepaza sauti hapo hapo ulipomuona akakusikia lakini umbeya udaku na majungu kama mange haraka sana ukakimbilia kupandisha uzi!
 
Kwa hiyo ulitaka ale ugali maharage
 
Sawa we ni jinga kabisa na Huna akili
Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu

Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya

Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil

Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu

Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya

Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
 
Mtahangaika Sana na Mwamba lakini hamtashinda .Mwamba kwa Sasa yupo Bize kuratibu masuala ya mapokezi ya ugeni mzito wa kesho.yupo kuhakikisha kuwa jiji linatamalaki kwa usalama na amani na kuhakikisha kuwa masuala yote yanakwenda vyema.

Huo uzushi wako wapelekee wajinga wenzako wasio na akili kama wewe chizi.
 
Hata sisi watu wa kawaida huku kwenye mashirika huwa tunapewa siku 10-14 hotelini. Hadhi ya hoteli itategemea na mfuko wa shirika na vendors waliopo location husika.

NB: sijui utaratibu wa serikalini na kuhusu huo msafara nani anaugharamia kimalazi, na je wote wanaishi Grand melia? Kama ndivyo basi hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…