feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Dada mi nina amini huyu jamaa Jiwe hawezi kumuacha atampa cheo tena unaweza shangaa akarudishwa hapo hapo. We hujuulizi amekaa na funguo za ofisi wiki mbili tangu apigwe chini unadhani angekua mtu wa kawaida angepata wapi hiyo power.
Ajiandae kugombea serikali za mitaa,kumbe kajenga Kigamboni.