Maisha Ni Safari Ndefu Na Utumishi Wa Kuteuliwa Ni Kupokezana Vijiti.
Tutamkumbuka Mh.Makonda Kwa Kulipa Nidhamu Jiji La Dar...
1.Kutupunguzia Vibaka Na Wakabaji
2.Kutupunguzia Wazururaji
3.Kutupunguzia Wavuta Unga,Bange Na Shisha.
4.Kulihimiza Jiji Kuwa Safi.
5.Kuwa Karibu Na Kina mama Wenye Matatizo Ya Kudhulumiwa Haki Zao.
6.Kuwa Karibu Na VIJANA WENZAKE Na Kushiriki kuwainua kwa UKARIBU.
6.Ukaribu Na Wasanii Na Urolemodel Kwa Wengi.
7.Ukaribu Wake Na Wananchi na uharaka Wake Wa Kutoa Maamuzi.
8.Ukaribu Wake Kwa Wanamichezo.
9.Ukaribu Wake Kwa Viongozi Wa DINI Dar es salaam.
10.Ulezi Wake Wa Vikundi Vya Michezo Vya Vijana Wa Mitaani.
11.Ukaribu Wake na SHIRIKISHO La vyuo vikuu Dar.
12.Ukaribu Wake Na Tahliso
13.Utetezi Wake Wa Haraka Kwa Vijana WENZAKE Kupata MIKOPO kutoka Bodi Ya MIKOPO Ya Elimu ya Juu HESLB.
14.HAKIKA NI MENGI MAZURI.
Braavoo Komredi Makonda,Dar Itakukumbuka kwa Yako Mengi Mazuri.
Hasta La Victoria,aluta continua!!