Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

Ajiandae kugombea serikali za mitaa,kumbe kajenga Kigamboni.
Pammoja na kujenga Kigamboni lakini kisiasa kwa Dar atasahaurika mapema mno unless arudishiwe ukuu wa mkoa war Dar.Haijalishi anakuwa Waziri au Spika ni huko huko Dodoma. Mzizima ina wenyewe.Kafanya kosa kubwa kukimbilia Tecno ya ubunge.
 
Duduvwili,

Mtaa kwa mtaa.
Kama walikukataa kwenye kura za maoni, ni nani atakusikikiza jukwaani? Hao walio kukataaa ni Wana CCM wenzako. Huko mtaani je? Think twice.
 
Kwenye Biblia kuna mtu anaitwa Baal_Yesu na kuna Yesu Kristo, sasa sijajua anazungumzia Yesu yupi?
 
Makonda wengi wanao mchukia Ni sawa wale watu wenye kuishi kwa chuki binafsi na watu wasiopenda kuona mtu kafanikiwa au anafanya mambo makubwa katika jamii.

Tobe honestly; Makonda Ni miongoni mwa vijana Wachache wanaoijielewa Tanzania ukiachilia mbali vijana kama kina Bashe, Mimi, January Makamba na wengine wachache.
 
Siku wanaume wanaongoza kwa umbea na majungu mpaka wanawake wanashangaa, sasa sijui ni uvivu wa kufanyakazi au kitu gani!
 
Mikono yake imejaa damu za watu, alituambia Pompeo, nashangaa sasa hv ni mshikaji wa pengo
 
Hii ndo inadhihirisha Dar ni Jiji linaloshikiria roho ya Nchi ofisi imekbidhiwa utadhani Laizer anatoa madini kwa serikali tukio live kabisa..
1.Mh Rais Magufuli
2.Mh Samia Suluhu
3.Mh Kassim Majaliwa
4.Rc wa Dar
Hapo anafanya kwa shinikizo, bila hivyo asingekuwepo ofisini!!
 
Maisha Ni Safari Ndefu Na Utumishi Wa Kuteuliwa Ni Kupokezana Vijiti.

Tutamkumbuka Mh.Makonda Kwa Kulipa Nidhamu Jiji La Dar...
1.Kutupunguzia Vibaka Na Wakabaji
2.Kutupunguzia Wazururaji
3.Kutupunguzia Wavuta Unga,Bange Na Shisha.
4.Kulihimiza Jiji Kuwa Safi.
5.Kuwa Karibu Na Kina mama Wenye Matatizo Ya Kudhulumiwa Haki Zao.
6.Kuwa Karibu Na VIJANA WENZAKE Na Kushiriki kuwainua kwa UKARIBU.
6.Ukaribu Na Wasanii Na Urolemodel Kwa Wengi.
7.Ukaribu Wake Na Wananchi na uharaka Wake Wa Kutoa Maamuzi.
8.Ukaribu Wake Kwa Wanamichezo.
9.Ukaribu Wake Kwa Viongozi Wa DINI Dar es salaam.
10.Ulezi Wake Wa Vikundi Vya Michezo Vya Vijana Wa Mitaani.
11.Ukaribu Wake na SHIRIKISHO La vyuo vikuu Dar.
12.Ukaribu Wake Na Tahliso
13.Utetezi Wake Wa Haraka Kwa Vijana WENZAKE Kupata MIKOPO kutoka Bodi Ya MIKOPO Ya Elimu ya Juu HESLB.
14.HAKIKA NI MENGI MAZURI.

Braavoo Komredi Makonda,Dar Itakukumbuka kwa Yako Mengi Mazuri.

Hasta La Victoria,aluta continua!!
 
Lakini mi naonaga waziri akienda mkoa husika hana power kubwa kumshinda mkuu wa mkoa hebu angalia hapa.
Mkuu wa mkoa taasisi zifuatazo zipo chini yake kwenye mkoa wake.
1.Takukuru
2.Vyombo vya usalama
3.Ofisi zote za umma

Haya nambie ukitoa Waziri mkuu ni waziri yupi ana mamlaka hayo?
Waziri ana Power nchi nzima ila mkuu wa mkoa ni katika mkoa wake husika tu
 
Anaenda kulea mwanae,mbona hajasema anamplelekea mwenye mtoto aliyetoa mbegu za kupandikiza?
 
Write your reply...nimeona anatoka ushauri kama amri ya bajaj na bodaboda kuingia mjin nikama alisahau yeye sio RC tena
 
asisahau kuwa mpiga majungu no. 1 ndie anakabidhi ofc leo .
binadamu tunasahau haraka sana, aliowapiga majungu wakahamishwa amesau!🤣😀
 
Back
Top Bottom