Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

Mkuu wa mkoa mstaafu Paul Makonda amesema katika uongozi wake jijini Dsm alifanikiwa kurejesha serikalini nyumba zaidi ya 50 zilizouzwa kinyemela na kifisadi.

Makonda amemshukuru Mungu kwa kumpa ujasiri.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ondoa hiyo maendeleo hayana vyama. Ebooo.
Nani kakuambia maendeleo hayana vyama?
 
Utapeli mtupuuu,wanamshirikisha Mungu ktk maovu yao na kutafuta madaraka
 
Tunajua atapata cheo kingine ila hili alilopitia na maoni ya watu,nadhani atakuwa amejifunza kitu kikubwa sana
 
Sasa Kama hakupenda alishindwa Nini kumzuia raia makonda wakati yeye anavyombo vyote vya ulinzi na usalama.
 
Maisha haya!! We acha tu.
Juzi RC unatembea na ving'ora leo raia unachomekewa na guta mbele duh
 


Mmmh hapa kwenye tezi dume kuna ukakasi kuhusu kuwapata wanawake hii nasema hapana, tezi dume ni kwaajili ya wanaume tu.
 
M'mbea huwajua wambea wenzie
 
Usifiche ukweli, yule jamaa yako hana brain kichwani sema tu anabebwa na babake.
ni kweli hana Brain ila mkuu kuna watu humchukia tu bila hata sababu, kuna siku humu nilimuuliza mtu kwanini hampendi jamaa hakunipa sababu
 
Siku akipewa teuzi nawambia atatoa tamko zito sana hadi watu tutazima data mwezi mzima
Sipati picha na ile shape yake,huwa anatamani hata machimbo ya tanzanite yangekuwa Dar na yeye aendelee kuwa mkuu wa mkoa. HUYU LAIZER ANGEKUWA LIVE KILA SIKU KWENYE TV STATIONS KUTAFUTIA KIKI ZA KISIASA,ANGEPELEKA VYOMBO VYA HABARI MPAKA MGODINI SHIMONI KUTENGENEZA KIPINDI CHENYE KIKI KUMFURAHISHA BABA NA RAFK YAKE KIPENZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…