Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

Makonda hataguswa sababu ya mahaba ya mama kwake, chunguza historia ya mahusiano yao yenye utata
 
Picha kidogo basi tuione,au hairuhusiwi kupiga picha...
 
Hapa simtetei Makonda ni kweli ukiwa mtumishi wa serikali ni lazima uoneshe mali zako na ku declare kabla na baada je vile viapo ni kama fashion tu hawana meno. Lakini angepewa nafasi ya kujieleza bila kumhukumu kwamba kwa mshahara hana uwezo ni kweli lakini labda alikuwa na vyanzo vingine au labda alichukuwa mkopo hatuyajui haya ila tukianza kuulizana basi sio Makonda tu wengi inabidi waulizwe pamoja hata na GSM ndio tajiri lakini je biashara zake inaendana na anayoyafanya, wengi sana inabidi tujieleze tumefikaje hapa tulipo.
 
Mnamsagia kunguni Makonda. Anaiva vizuri na Rais SSH, nadhani mnapoteza muda.
 
Huyo mfanya biashara gsm ni msafi kiasigani.
 
Aliyekwambia binadamu anategemea mshahara pekee ni nani?. Umeacha shughuli zako unamhesabia mtu pato lake, hii ni zaidi ya roho ya kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…