Makonda alivyowadhalilisha wazazi wake Arusha, adai baba yake hakusoma kabisa, mama yake ni darasa la saba

Makonda alivyowadhalilisha wazazi wake Arusha, adai baba yake hakusoma kabisa, mama yake ni darasa la saba

Kwa mafanikio ambayo wazazi wake wamepata kupitia makonda

Na nikiunganisha na nature ya wazazi wakiaafrica pale tu unapokuwa na mafanikio katika familia una gain power over family

Sidhani kama wazazi wake wameona hilo jambo ambalo wewe mtoa maada umeliona
 
Mtoa mada uzi wako ni wa hovyo, ila hii pia haiondoi kuwa Makonda ni wa hovyo zaidi!
 
Yaani ulitaka aseme wazazi wake wana degree?
Kama atakuwa amesema uongo then kawadhalilisha lakini kama kasema kweli sioni tatizo
Mada kama hizi zinadhihirisha common sense is not common these days.
 
hizo ni mbinu za kisiasa tu, ili aonekane ni mnyonge wa hali ya chini km wengine. nijuavyo wa TZ wengi tunaona faraja sana eti tajiri nae akijifanya masikini. kumbe tunazugwa tu.
 
Back
Top Bottom