Yaani ulitaka aseme wazazi wake wana degree?
Kama atakuwa amesema uongo then kawadhalilisha lakini kama kasema kweli sioni tatizo
Mada kama hizi zinadhihirisha common sense is not common these days.
hizo ni mbinu za kisiasa tu, ili aonekane ni mnyonge wa hali ya chini km wengine. nijuavyo wa TZ wengi tunaona faraja sana eti tajiri nae akijifanya masikini. kumbe tunazugwa tu.