mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Mdebwedo haswaaArusha wametuangusha Sana. Wamekuwa very cheap.
Mvuto ??Tatizo sio la watu wa Arusha, ni vile Makonda alivyo na ushawishi na mvuto kwa watu.
Ndio mvuto,hata mwalimu Nyerere alikua na mvuto na ushawishi kwa watu.Mvuto ??
Wameingizwa chaka na Ngosha Ghoromije na wamejaa kwenye 18Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.
Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.
Mmenishangaza sana!!
Kawajaza kwenye mfumo kifala sanaWameingizwa chaka na Ngosha Ghoromije na wamejaa kwenye 18
Bia za Bure na nyama ,ndio ushawishi?Ukweli lazima usemwe.
Siasa za kushawishi umma ndugu Makonda anaziweza.
Ukweli huu haijalishi ufanisi au faida ya kweli ya kile anachoshawishi watu.
Umma unataka mtu anaye shughulika na keep zao na kudhibiti uhuni.
Makonda huenda anajua kuigiza vizuri au anatekeleza hili vizuri sana.
Give credit when it's due.
Ukiona hivyo ujue wew ni mzimaDuh! Afu kuna sie ambao hatujui kinaendelea nini Arusha cha zaidi tunaona round about wamemjaza mama mjengo. 🤣
Kwahiyo hizo nyama wanapeana wapi? Leo sijafika mjini katiUkiona hivyo ujue wew ni mzima
Ofisi za ccm, minofu inarushwa juu juu kama parachutiKwahiyo hizo nyama wanapeana wapi? Leo sijafika mjini kati
Unaweza kuukataa ukweli lakini wenyewe utabaki kuwa ukweli.Bia za Bure na nyama ,ndio ushawishi?