Taja mwaka gani ulisoma sekondari pale Arusha mjini na mchepuo upi ulichukua ili nikupe za uso kwa kujikweza kwako kwa majivuno kusiko na tija yoyote.Mimi sio kilaza , academically Mimi ni chuma cha moto, Tena cast iron, so utajua mwenyewe nimesoma wapi
Ila we jamaa fala kweliTaja mwaka gani ulisoma sekondari pale Arusha mjini na mchepuo upi ulichukua ili nikupe za uso kwa kujikweza kwako kwa majivuno kusiko na tija yoyote.
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.
Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.
Mmenishangaza sana!!
Nakubali 100%Utakuwa ulikosea sana kama uliamini wabongo wanatofautiana!
Kuna watu huwa wanajiaminisha eti wachagga wana akili kuliko wabongo wengine, kwa sisi tuliosomea na kuishi Kilimanjaro na viunga vyake huwa tunawaona ni kama kenge wengine tu ila kwa kuwa wajerumani na waingereza walijenga shule za kwanza kule basi ni opportunity tu ambayo hata wangeipata wagogo au wamasai wangeonekana wana akili sana, hamna kitu kaka, wabongo wote east to west, north to south akili zetu ni kisoda tu, period..