GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Imani ya mtu huwa inabadilika baada ya kuona matokeo asiyotarajia, Arusha ya 2010 hadi 2015 Chadema ilikua ni kwao, watu hadi shule tulienda na bendera za chadema kama Scarf , ila mapenzi yale kwa Chadema yamepungua sana kwa sasa kwahiyo Chadema iangalie imekwama wama katika hilo usilaumu wananchi
 
Umu ndani tunakua tunaakili timamu ila tungekua tuko Arusha mida hii tungejumuika wote kula nyama ..
Usemwe tu ukweli hata hao tunaowaona wana akili timamu hakuna aliewai kufanya mambo ya msingi ivo
Acha watu wafutahie maisha
 
Wakaladi wamezaliana sana hapa...na barbara ya vumbi
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.

Mmenishangaza sana!!
i
 
Imani ya mtu huwa inabadilika baada ya kuona matokeo asiyotarajia, Arusha ya 2010 hadi 2015 Chadema ilikua ni kwao, watu hadi shule tulienda na bendera za chadema kama Scarf , ila mapenzi yale kwa Chadema yamepungua sana kwa sasa kwahiyo Chadema iangalie imekwama wama katika hilo usilaumu wananchi
Nakubaliana nawew 100%, ila shida ni nyakati , sidhani kama TAIFA tulishawahi kuwa nawakati ambao nchi imemilikishwa kwa watu wachache kama kipindi hiki, na njia pekee ya watu especially watu shupavu wa Arusha kutuma ujumbe ilikuwa ni kutoshiriki katika hizo danganya toto za muda mfupi...kula nyama choma ya Siku moja then kuendelea kula mlo mmoja next 6 yrs ni uchoko. Hii sio kuhusu chadema , ni kuhusu awareness ya wananchi wote bila kujali itikaadi za vyama
 
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.

Mmenishangaza sana!!

Hawa watoto wote wa Kinondoni, Pwani na Zanzibar wakija vyuoni Arusha hawaondoki ndo wame dilute mambo ya Arusha, inauma sana!
 
Kama wengi wanamuelewa hakuna namna ujue ndio imeenda hadi itakaporudi unaweza kuamua ukae ndani au nje kuingoja ila upepo uko kwake
 
Nakubaliana nawew 100%, ila shida ni nyakati , sidhani kama TAIFA tulishawahi kuwa nawakati ambao nchi imemilikishwa kwa watu wachache kama kipindi hiki, na njia pekee ya watu especially watu shupavu wa Arusha kutuma ujumbe ilikuwa ni kutoshiriki katika hizo danganya toto za muda mfupi...kula nyama choma ya Siku moja then kuendelea kula mlo mmoja next 6 yrs ni uchoko. Hii sio kuhusu chadema , ni kuhusu awareness ya wananchi wote bila kujali itikaadi za vyama
Unajua umaskini unaweza kukufanya usiwe na msimamo hizo nyama choma wengine wanaenda kula tu kwasababu ya njaa na siyo kwasababu wanaunga mkono Ccm wengine hata kwenye siasa hawapo hata vitambulisho vya mpiga kura hawana ila wakiona msosi wanaubonda tu

Au umpe Bodaboda mafuta na posho elfu 15 unafikiri ataiacha? Atakuja tu
 
Ndio watu wa Arusha wanakuambia hatuli kushiba tunakula kumaliza. Kwanza watu wanaenda na vaibu yako alafu wewe jidogonye.

Kama upo Arusha panda daladala jioni au kaa kwenye kituo cha bodaboda ndio utajua ukweli kwamba wanawashagere tuu.
 
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.

Mmenishangaza sana!!
Umesoma Arusha A-level shule gani?

Shuel A-level Arusha mjini miaka hiyo uliyotaja ilikuwa ni Ilboru (serikali) na Arumeru (binafsi)

Arusha Sec (serikali) pale Tivoli ilikuwa bado haijawa na A-level

Labada shule za Kayumba
 
Mimi sio kilaza , academically Mimi ni chuma cha moto, Tena cast iron, so utajua mwenyewe nimesoma wapi
 
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.

Mmenishangaza sana!!
Nasikia Kila aliyekula Ile nyama choma ya siku Ile akili zikabadirika
 
Chadema ingeshiriki ndo ungeijua Arusha vizuri. Haoo wavuta bange na wanywa gongo ndo unafanya majumuishoo?
 
Back
Top Bottom