GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
WEWE NDO HUJUI SISI WATU WA ARUSHA...HAO UNAOWAONA NI WAARUSHA WA CCM, HUTAJUONA WALIOWENGI AMBAO NI WAPINZANI, MAKONDA LINATAKA KUJARIBU NA KUPIMA UPEPO, NAKUAPIA INGEKUWA UCHAGUZI CHADEMA WANASHIRIKI MAKONDA ANGESHINDWA HATA NA MIMI SEMBUSE LEMA,
 
Ndio watu wa Arusha wanakuambia hatuli kushiba tunakula kumaliza. Kwanza watu wanaenda na vaibu yako alafu wewe jidogonye.

Kama upo Arusha panda daladala jioni au kaa kwenye kituo cha bodaboda ndio utajua ukweli kwamba wanawashagere tuu.
Uhakika Arusha watu huwa hawako serious sana kihivyo ukienda na vibe yao na wao wanakua na vibe tu, Chadema ilipata support ya hatari sana 2010 na 2015 Arusha, watu waliuliwa hadi kwenye maandamano , Arusha ilikua ni kenya ndogo ya sasa, Chadema hapa kati kuna kete hawajasukuma vizuri, kwahiyo watu wana vibe popote
 
Nina wasiwasi huyo jamaa akifanikiwa kupata ubunge...zile pesa atakazokuwa analipwa hatazitumia yeye...watakula watu wa Arusha.....jamaa lengo lake kuu ni kuwa mbunge ndio ndoto yake kubwa Wala si hela yule jamaa
 
Nina wasiwasi huyo jamaa akifanikiwa kupata ubunge...zile pesa atakazokuwa analipwa hatazitumia yeye...watakula watu wa Arusha.....jamaa lengo lake kuu ni kuwa mbunge ndio ndoto yake kubwa Wala si hela yule jamaa
😁😁
 
Mnaionea chuga na jamii yake, maana kati ya mikoa yote nchi chuga hatoki fala sema wamekutana na mjanja mwenzao makonda ndiyo ikapatikana chemistry na bond ya hatari
 
Mnaionea chuga na jamii yake, maana kati ya mikoa yote nchi chuga hatoki fala sema wamekutana na mjanja mwenzao makondo ndiyo ikapatikana chemistry na bond ya hatari
Kwahiyo makonda ni mjanja?
 
Unalolisema ni kweli
Kuna wimbi la watoto mabwabwa wengi sinza ,kinondoni wanatoka A city
Inatafakarisha!!
 
Duh! Afu kuna sie ambao hatujui kinaendelea nini Arusha cha zaidi tunaona round about wamemjaza mama mjengo. 🤣
Kama hujui kinachoendelea Arusha basi una mtindio wa akili au upo kwenye coma.
 
Watu wa Arusha wa miaka ya Lema na wa sasa ni tofaut mkuu
Wote walikufa na wakaja wapya?Watu wamesanuka na siasa za Komaa kamanda huku kina LEMA wanajificha chini ya magari kikinuka na kukimbia Nchi na watoto wao joto likizidi.Arusha hakuna anayekubali kufanywa ngazi ya kuumizwa huku kina Lema wakifaidi.Ujinga huo umekwisha.Siasa za maandamano na vurugu zimekataliwa Arusha
 
Si ndioo
 
Waamie kisalawe tu kama vp
 
Mtasema yote.Uamuzi wa watu wa Arusha ni kwenda na Makonda. Kulalama hakutabadilisha huo ukweli.
Swala sio mtaenda na nani, msingi wa hoja ni tabia za kilofa za watu wa Arusha..kumchagua mtu sababu ya vipande vya nyama .huko daslama, vijana wengi wakimeru wanabanduliwa tope kwa kupenda dezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…