GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuambiwa unanuka ndio kelele zote hizo?Unanuka kweli.Hicho kiduka karibu na Soko Kuu ndio unaona ume achieve kitu.Kaoshe **** inanuka.Punguza unene na sasa joto limeanza Arusha ndio uvundo umezidi.Mama yako hajakufundisha kuosha?
 

Utakuwa ulikosea sana kama uliamini wabongo wanatofautiana!

Kuna watu huwa wanajiaminisha eti wachagga wana akili kuliko wabongo wengine, kwa sisi tuliosomea na kuishi Kilimanjaro na viunga vyake huwa tunawaona ni kama kenge wengine tu ila kwa kuwa wajerumani na waingereza walijenga shule za kwanza kule basi ni opportunity tu ambayo hata wangeipata wagogo au wamasai wangeonekana wana akili sana, hamna kitu kaka, wabongo wote east to west, north to south akili zetu ni kisoda tu, period..
 
Nakubali 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…