The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Makonda alimtaja Mbunge mwenyeji ambaye ni Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ambapo hakumuona na kusema
"Mheshimiwa Rais tunao wabunge upande huu (akionyesha), pia tunaye mbunge wa Arusha mjini, Mheshimiwa Gambo (Mrisho) upo wapi? Mbona simuoni?
"Itakuwa amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida kwa sababu hapendi makuu," amesema na kuongeza Makonda