Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu atakaye mchagua Bashite basi huyo akili zake ni za chini kuliko hata huyo bashiteGambo sio mjinga ila ana tag ya serikali na chama wakati makonda ana tag ya wananchi. Wote Wana umuhimu na wote watapata wanachokitaka.
Ni mbunge gani arusha ameleta maendeleo?Watakaomchagua Makonda waandike maumivu.
Huyu jamaa ni msanii mazima!
Watasubiri tu kuchomewa nyama..mambo ya maendeleo wasahau.
Gambo ni mjanja mjanja ila kwa Makonda akasome.
Arusha bahati mbaya.
na waliomchagua lema ndio walikuwa na akili?Mtu atakaye mchagua Bashite basi huyo akili zake ni za chini kuliko hata huyo bashite
Wapi nimesema bashite hana akili? Au umejishitukia tu? Kuwa na akili chini ya mtu flani haina maana huyo uliye chini yake hana akilina waliomchagua lema ndio walikuwa na akili?
Bonge la snitchAlikua anamchongea jamaa ana tabia za kike sana
Swali lako halieleweki.Ni mbunge gani arusha ameleta maendeleo?
Hakuna mbunge anaweza leta maendeleoNi mbunge gani arusha ameleta maendeleo?
Halafu Wananchi tutafaidika na nini wakishagawana?Hahah Jimbo linagawanywa watapata nafasi wote. Ila bifu lao nimelipenda.
sasa yeye bashite, sikukuu ya wanawake ameenda kufanya nini huko? wakimvalisha dera atakataa? au na yeye ni fungu gani.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Makonda alimtaja Mbunge mwenyeji ambaye ni Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ambapo hakumuona na kusema
"Mheshimiwa Rais tunao wabunge upande huu (akionyesha), pia tunaye mbunge wa Arusha mjini, Mheshimiwa Gambo (Mrisho) upo wapi? Mbona simuoni?
"Itakuwa amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida kwa sababu hapendi makuu," amesema na kuongeza Makonda
View attachment 3263594
Yani huyu jamaa kwa sasa ni hotcake sana hata watu wa Kigamboni wanaombea aachane na Arusha akagombee jimbo lao.....jamaa akichukua Ubunge na uwaziri hakosi....kama ni mkeka unaambiwa hio ni sure bet,, hata wasiompenda wamchafue vipi jamaa wananchi ameweza kuwavuta upande wakeWatakaomchagua Makonda waandike maumivu.
Huyu jamaa ni msanii mazima!
Watasubiri tu kuchomewa nyama..mambo ya maendeleo wasahau.
Gambo ni mjanja mjanja ila kwa Makonda akasome.
Arusha bahati mbaya.
Huyu chawa mkuu bila shaka atafisha.