Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Makonda alimtaja Mbunge mwenyeji ambaye ni Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ambapo hakumuona na kusema

"Mheshimiwa Rais tunao wabunge upande huu (akionyesha), pia tunaye mbunge wa Arusha mjini, Mheshimiwa Gambo (Mrisho) upo wapi? Mbona simuoni?

"Itakuwa amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida kwa sababu hapendi makuu," amesema na kuongeza Makonda


Your browser is not able to display this video.
 
ChoiceVariable mwambie Gambo aache kujificha

MamaSamia2025
 
Watakaomchagua Makonda waandike maumivu.
Huyu jamaa ni msanii mazima!
Watasubiri tu kuchomewa nyama..mambo ya maendeleo wasahau.

Gambo ni mjanja mjanja ila kwa Makonda akasome.
Arusha bahati mbaya.
Gambo sio mjinga ila ana tag ya serikali na chama wakati makonda ana tag ya wananchi. Wote Wana umuhimu na wote watapata wanachokitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…