Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

Arusha wanatuangusha sana linapofika swala la kuchagua wabunge.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akifanya utambulisho wa wabunge wa mkoa huo amemuuliza, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo huku akisisitiza huenda amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida.

Makonda, amefanya hivyo wakati akitoa utambulisho kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgeni Rasmi wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake inayoadhimishwa kitaifa jijini Arusha.

"Mheshimiwa Rais tunao wabunge upande huu (akionyesha), pia tunaye mbunge wa Arusha mjini, Mheshimiwa Gambo (Mrisho) upo wapi? Mbona simuoni?

"Itakuwa amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida kwa sababu hapendi makuu," amesema na kuongeza Makonda, jambo ambalo limezua shangwe uwanjani hapo.

Kipindi cha hivi karibuni, Gambo amekuwa akidai kuhujumiwa na Makonda katika utekelezaji wa majukumu yake, huku akionya kama kuna mtu anataka ubunge basi asubiri muda wa kuomba ridhaa.
Your browser is not able to display this video.
 
Nyamitako mchokozi sana
 
Kutesa kwa zam Makonda kamatia hapohapo. Ata huyo bwana mrisho alikuwa anamfanyia hayohayo Lema. Sema. We bdo ujampeleka. Kisongo kwavle ni mwenzetu ktk chama.ila endelea kumpiga vijiikofi mpaka tushavu twake tuvimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…