uongoz sio kukaa majukwaan , yule anamfanyia Sa100 kampen kitu JPM hakuwai fanya , kiongoz bora hatakiwe kuwa na element za uchawaSema watu wazima wengi hovyo sikuhizi.
Yaani nimekuambia anachofanya makonda kutofautiana na wengine waliopota kwa kufika kusikiliza matatizo ya wananchi unasema umri.
Kweli hata babu linaweza jinga[emoji23]
Nimekuelewa mkuu.uongoz sio kukaa majukwaan , yule anamfanyia Sa100 kampen kitu JPM hakuwai fanya , kiongoz bora hatakiwe kuwa na element za uchawa
TrueHii nchi inahitaji watu wakatili tu kuiendesha maana Kuna wajinga wengi wanaichezea hii nchi
Umetumwa Kutoka LuhengeriHabari wanajamvi?
Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.
Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.
Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.
Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Magufuli nchi ilimyooshaTumpe nchi, ainyooshe kama JPM alivyofanya.
Hana lolote kama ni mkweli mbona aongelei mafisadi yalio mshinda magufuliUmetumwa Kutoka Luhengeri
Makonda ni mkurupukaji kama mwenda zake,mbona aongelei katiba mpya?Makonda akiwa prezidaa Kuna watu watahama hii nchi. Jamaa ni mkorofi hata magu haoni ndani. Kikubwa sisiem Kama wanataka kurudisha Imani kwa watz wampe ridhaa huyu mwamba after hagaya. Atapita bila kupingwa na watz. Hii nchi inataka watu wawajibikaji Kama makonda.
Yeye makonda ni fisadi hana jipyaTrue
Magu huyu mnae mdifiaga hakuwa na jipya tofaoti na kukulupuka,ndio maana alikataa katiba mpiya na kuwakataa wapinzani hili afiche ujinga wakeNimekuelewa mkuu.
Bora ulvyoongea kuliko hilo jitu zima hapo juu.
Jpm kailudisha nchi nyuma mwanzo nilidhani ni mtu kumbe alikuwa msukule[emoji12][emoji12]unafahamu kwanini alikataa katiba ya walioba?unafahamu kwanini aliwachukia wapinzani?unafahamu kwanini ulichukia viombo vya habari?je alihofia nini kwa tundu lissu mpaka atake kumua?bado sana tuwe wakwel , yule anaigiza ila Jpm hakuigiza
Wanyonge walio muona jiwe babu kubwa ufahamu wao mdogo,je unafahamu tulijuane kuwa nchii kuna mafisadi papa nani alie twambia?Queen Sheba kaamua kupiga chini team meno ya tembo kaamua kucheza na team jiwe maana jiwe Bado anaishi miongoni mwa wanyonge
Tabia hizo zimemgharimuHabari wanajamvi?
Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.
Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.
Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.
Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Haya, anafaa🤣🖐️Habari wanajamvi?